Rais Ruto ataja sababu za kumfuta kazi DCI George Kinoti

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Baada ya taarifa za Septemba 27, 2022 za Kujiuzulu kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) George Kinoti, Rais William Ruto amefichua kuwa alimfuta kazi kutokana na kuongezeka kwa mauaji na kutoweka kwa raia nchini humo kulikohusishwa na Polisi

Rais Ruto alielezea masikitiko yake kuhusu kupatikana kwa zaidi ya miili 200 ya Wakenya katika mito na vichaka katika maeneo mbalimbali huku sababu za vifo hivyo bado ni kitendawili, ambapo amesema aliiagiza Mamlaka Huru ya Kusimamia Polisi (Ipoa) kuchunguza na kuwakamata waliohusika na mauaji hayo

Amesema, "Miili 30 huko #Yala, 17 #Garissa, kulikuwa na kontena hapa #Nairobi ambapo watu walikuwa wakichinjwa, katika Kituo cha Polisi, tulifikaje hapo? Ilikuwa ni taasisi gani ya kihuni? Na ndio maana nilimfukuza huyo Kinoti, kwa sababu sio sawa"

..........

President William Ruto has revealed that he fired former Directorate of Criminal Investigations (DCI) boss George Kinoti.

Many Kenyans were been taken aback by this news, as the President had on September 27, 2022, announced that the DCI boss had resigned.

“This afternoon I have received the resignation of DCI director George Kinoti. I have transmitted the same to the National Police Service to proceed with advertising that position,” the President said back then.

Speaking at State House, Nairobi during an omnibus interview with leading TV stations on Wednesday night, Dr Ruto, however, said he fired the DCI boss due to a rise in police killings and forced disappearances in the country.

President Ruto expressed his sadness over the discovery of over 200 bodies of Kenyans in rivers and thickets across the country, the causes of death for which remain a mystery.

“Thirty bodies in Yala, 17 in Garissa.. there was a container here at Nairobi Area where people were being slaughtered, in a police station…how did we end up there? What kind of rogue institution was that? And that is why I fired that Kinoti man, because it’s not right. There will be responsibility,” he charged.

The head of state stated that he had instructed the Independent Policing Oversight Authority (Ipoa) to investigate and apprehend those responsible for the string of murders

Source: Nation. Africa
 
Ruto ana kisasi sana. Huyo George Kinoti ndio aliwadaka wale kina Josee Camargo wavenezuela waliochezea uchaguzi wa Kenya kwa kumpa Ruto ushindi wa bandia/ Rigging scheme
 
Back
Top Bottom