technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,646
- 58,444
Vipi sheria ya uingizaji dawa nchini inasemaje even though hii ni herbs? Nafikiri TMDA lazima wapate sample, waifanyie uchunguzi kwanza kabla ya kuipitisha ili sasa iingizwe(imported) nchini.HUYO JAMAA ANAEKUNYWA DAWA HAPO JUU NI PROFESA??NADHANI AMEINYWA HATA KABLA HAIPIMWA NA MKEMIA WETU
CHADEMA ni marafiki na Repulican ambao wanapinga ushoga na CCM Marafiki zao ni Democratic ambao wanaunga mkono ushoga!!Wewe subiri 2090 chadema ikishika nchi mtakuwa na marafiki zenu wale mashoga
SI NASIKIA KAGAME NA MKULU WAMEKOSANA? KISA NI ZILE BOMBARDIER MKULU ALIINGIZWA MKENGE NA KAGAME.Kwani hamumjui kuwa rafiki yake ni PK?
[emoji1787][emoji1787]Wewe subiri 2090 chadema ikishika nchi mtakuwa na marafiki zenu wale mashoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha huyu PK mshenzi sana. Yani dunia nzima alimuona mkulu ndio wakuja? πππSI NASIKIA KAGAME NA MKULU WAMEKOSANA? KISA NI ZILE BOMBARDIER MKULU ALIINGIZWA MKENGE NA KAGAME.
Inasemekana zilinunuliwa na Kagame kabla baadae akaona hazifai ikabidi arudishe, kufika kiwandanj akaambiwa haziwezi kurudishwa atafute mtu ambambikie, akachekecha akili akaona Mkulu amekaa vizuri kubambikiwa.
Nilisikia wanasimulia kwenye daladala.
Du!SI NASIKIA KAGAME NA MKULU WAMEKOSANA? KISA NI ZILE BOMBARDIER MKULU ALIINGIZWA MKENGE NA KAGAME.
Inasemekana zilinunuliwa na Kagame kabla baadae akaona hazifai ikabidi arudishe, kufika kiwandanj akaambiwa haziwezi kurudishwa atafute mtu ambambikie, akachekecha akili akaona Mkulu amekaa vizuri kubambikiwa.
Nilisikia wanasimulia kwenye daladala.
Dawa au mafuta ya mwamposa?HUYO JAMAA ANAEKUNYWA DAWA HAPO JUU NI PROFESA??NADHANI AMEINYWA HATA KABLA HAIJAPIMWA NA MKEMIA WETU
Afrika kuna vitukoRafiki wa karibu alikuwa motto was Jaramongi lakini juzi naye kamtosa kwa kuwa hashauriki na kasema mbishi sana. Kwa hapa ndani tulidhani huyu anaweza kuwa rafiki, lakini baada ya kuona Professor mzima anamtuma kufuata miti shamba huyo sio rafiki bali kijakazi tuu. Hitimisho ni kuwa hana rafikiView attachment 1444185
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa kila mtu anakunywa maana huyu mzee haumwiView attachment 1444196
Hiyo dawa inanywewa na kila mtu ama na wagonjwa tu??
Au Profesa kaamua kuiwahi na kujiwahi yeye mwenyewe kabla haijawekwa kwenye shubaka zitakazofunguliwa kwa amri maalum?
Urafiki wao ulikufa muda mrefuKwani hamumjui kuwa rafiki yake ni PK?
Vipimo ni feki unajuaje kwamba haumwi??Itakuwa kila mtu anakunywa maana huyu mzee haumwi
Mzigo mzito mpe mnyamwezi (msukuma)Hahaha huyu PK mshenzi sana. Yani dunia nzima alimuona mkulu ndio wakuja? πππ