RUV ACTVIST.
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 472
- 111
Kamtembelee gerezani hata kama sio wa kwako onyesha ukuu wa kaya hata kama kawekwa kwa maelekekezo yako,jikoshe tu kidogo....
Sema chochote.....Nimekosa cha kusema
Mkuu na hisi akili iko likizo ila mungu atupe uvumilivu tu na atuonyeshe njia sahihi ya kutatua Mapito hayaSema chochote.....
huyo taka taka atembelewe na Rais kwani nchui hii ina wafungwa na mahabusu wangapi mpaka awe huyo kichaa? ana umuhimu gani?Kamtembelee gerezani hata kama sio wa kwako onyesha ukuu wa kaya hata kama kawekwa kwa maelekekezo yako,jikoshe tu kidogo....
Wewe ni nani unamwita binadamu mwenzio takataka??huyo taka taka atembelewe na Rais kwani nchui hii ina wafungwa na mahabusu wangapi mpaka awe huyo kichaa? ana umuhimu gani?
Wewe ni nani unamwita binadamu mwenzio takataka??
Utakufa, utaoza na kunuka, mchwa watakutafuna utabaki mifupa mitupu!
Unajiona bora kwa kuwa upo hapo ulipo, siku moja utakimbiwa...time will tell!
Kwa sababu unapakatwa Lumumba una mtukana binadamu mwenzako kisa tumbo lipate kushiba kwelihuyo taka taka atembelewe na Rais kwani nchui hii ina wafungwa na mahabusu wangapi mpaka awe huyo kichaa? ana umuhimu gani?