Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,034
- 7,590
Wasafiri ndani ya ziwa Victoria ni kama marehemu watarajiwa. Usafiri wa meli kati ya Mwanza-Bukoba kwa sasa na kadiri siku zinavyopita unazidi kuwa wa kubahatisha sana, haujui kama kesho utafika salama. Tunaomba rais wetu okoa maisha ya watu hawa, meli mpya imefikia wapi? Taifa linakosa pesa kwa kukosa kuweka meli ya maana pale, okoa roho za watu wako... watu wa Magufuli.