Sasa ni Chadema au UKAWA? Au UKAWA imeshakufa tayari, mbona tunakuwa wabinafsi na kuona kama vyama vingine havina maana wakati wenyewe mlikubaliana kufanya haya maridhiano ya kuunganisha nguvu kung'oa CCM, Eeeh Mungu saidia UKAWA na ondo hizi roho za ubinafsi.