prince dudu
Senior Member
- May 24, 2015
- 109
- 77
Hili janga la mafuta Sasa ni jipu kubwa karudia tabia ya kuficha mafuta kama alivyofanya kwenye sukari Enzi zile. Ufisadi Sasa hivi ni wa watu wachache Sana, raisi wetu mtarajiwa ni majaaaliwa.
Kisa cha kutodumu?Huu Uzi hautadumu...
Na hivyo Mchele Buku Buku plus Demokrasia ya Tanzania.Haya ndiyo matatizo ya Kula sana na kushiba
Issue ni bei itashuka??Hili sakata la mafuta ni la mda tu
Ni kama lile la sukali
Viwanda vilivyofungiwa ndo vimesababisha demand kuwa kubwa kuliko supply
Ila tatizo sio kubwa kama ulisemavyo
Tunaomba jina lako halisi Na picha yako ya passport tafadhali.Hili janga la mafuta Sasa ni jipu kubwa karudia tabia ya kuficha mafuta kama alivyofanya kwenye sukari Enzi zile. Ufisadi Sasa hivi ni wa watu wachache Sana, raisi wetu mtarajiwa ni majaaaliwa.