Amani Mrimbo
Member
- Nov 23, 2010
- 64
- 9
hivi mwanamke akiwa rais , na akajifungua , siku kuu inakuwa siku ngapi? Au marais wanawake waanze kazi hiyo baada ya umri wa miaka 60?
Tukiangalia upande mwingine wa usa wana rais wa 44 sasa na hawajawahi kuwa na mwanamke. Hio ndiyo democratization? Wadau mnalichukuliaje swala la kuwa na rais mwanamke?
mi naona tungejaribu rais mwanamke itasaidia sana labda ufanyikagi wa kazi maana marais wanaume wanakua wanapandikiza wanawake waliolala nao kwenye wizara/sehemu mbali mbali sasa tukiwa na rais mwanamke hatutaona vinuka mkojo vinapewa kazi ovyo ovyo kama midume inavyofanya...tumeshakua na marais wanaume na mpaka leo hii wametupeleka wapi?
mfumo dume tu umewajaa.
wewe wakuja mwanamke means keshazaa aaaaaaa.so watakuja kutokea tu america pioa siku hazigandi...ujerumani,argentina l.lissa nk baadhi ya top leader.sema ambaye hana watoto yaani binti ndio mbaya kumpa kozi wengi watataka kumrukia....bora awe mwanamke ndio apewe urais.ndio maana hata hao wa kiume hadi wakamilike wawe na familia ndio wanapewa urais....
Wabongo bhana Claudia Senkoro mlinyima kura mama wa watu alijitoa kuokoa jahazi lisizame mkaanza sijui hatuwezi kuongozwa na mwanamke tena ambaye hajaolewa leo mnataka nini tena tofauti na mzee mamvi wenu!
ivyo kwanini wa TZ mnataka kilakitu America hawajafanya je wa AMERICA wakiweka Raisi -SHOGA je nasi tuweke SHOGA???tusimame wenyewe tuache kumuiga Tembo ndio maana hatuna maamuzi nyinyi Mna mpongeza Nyerere lakini mawazo yenu MGANDO je inakueaje???tutafika kweli
kama uanamke ndo huu wa J.Banda na Z.Meghji sioni hata sababu ya kuwajaribu wanawake ..they become too emotionals.