Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema mara nyingi aliombwa jina lake litumike sehemu mbalimbali duniani katika kutambulisha miradi lakini alikataa.
Hata Uganda nimekataa kutumia jina langu mara kadhaa.
Lakini hapa Chato nimekubali jina langu litumike kuitambulisha shule, ni hapa tu kwa heshima ya mji huu, amesema Museveni.
Chanzo: ITV habari