Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 844
- 1,608
Rais Yoweri Museveni ameizindua gari jipya la kisasa la kuzima moto nchini Uganda, linaloitwa “Muliro Eater”. Gari hili limebuniwa na Shirika la Uzalishaji wa Taifa (NEC) kupitia mradi wa All Terrain Fighting Project huko Nakasongola, na limekusudiwa kuzima moto hata kwenye maeneo magumu kufikika. Pia linaweza kubadilishwa na kutumika kudhibiti wadudu waharibifu.
Akiwaeleza mabalozi kutoka Marekani, Urusi, Uingereza na Umoja wa Ulaya, Rais Museveni alisema wazo hili limetokana na changamoto za kimataifa, hususan majanga ya moto yaliyoshuhudiwa Marekani, Australia na barani Ulaya.
Kwa mujibu wake, gari hilo linaunganisha mbinu za jadi za Kiafrika za kudhibiti moto na teknolojia ya kijeshi, ili kupunguza hatari kwa maisha ya binadamu na kuongeza ufanisi.
Kupitia ukurasa wake wa X, Rais Museveni aliandika:
"Nimefurahi kuwasilisha gari letu jipya la kuzima moto, Muliro Eater, kwa mabalozi wa Marekani, Urusi, Uingereza na Umoja wa Ulaya. Nikiwa mara nyingi nimeshuhudia kwenye televisheni miji na maeneo yakiangamizwa na moto katika mataifa haya, nilipata msukumo wa kuunganisha mbinu zetu za Kiafrika na teknolojia ya vifaru vya kijeshi kuunda gari hili linalokula moto. Natumaini wataunga mkono wazo hili na kuwa wateja wetu. Huu ni ushahidi wa kujitolea kwetu na uthubutu wa ubunifu wa Kiafrika."
================For English Audience===================
President Yoweri Museveni has unveiled Uganda's innovative firefighting vehicle. The vehicle, dubbed the Muliro Eater, was revealed during a meeting with ambassadors from the USA, Russia, the UK, and EU member states.
The prototype, developed by the National Enterprises Corporation (NEC) under the 'All Terrain Fighting Project' in Nakasongola, is designed to tackle fires in challenging terrains and can also be adapted for pest control. Inspired by Global Challenges.
Drawing inspiration from the devastating wildfires in countries like the USA, Australia, and parts of Europe, President Museveni said the innovation sought to combine traditional African firefighting methods with advanced military technology.
The result is a vehicle that not only combats fires effectively but also minimizes human exposure to hazardous situations.
"I was delighted to present our innovative firefighting vehicle, named the Muliro Eater, to the Ambassadors of the USA, Russia, the UK, and EU member states. We showcased the prototype during the meeting.
Having frequently watched on TV as fires devastated towns and regions in these countries, I was inspired to combine our African firefighting tactics with military tank technology to create this fire-eating vehicle. I hope that they will embrace this proposal and become our clients. This initiative represents our commitment to philanthropy and the promotion of African innovations." He posted on his X account.