Naona MADIKTETA wanaanza kujipendekeza mapemaaa hahahaha subirini tu hapo hapo mlipo
Hivi mkuu unazielewa sera za mambo ya nje ambazo trump amepledge wkt wa kampeni? Trump co mjinga, amejifunza mengi toka tawala za nyuma, hawez fanya ujinga km huu wa kuondoa au kuingilia mamlaka au viongozi wa nchi zngne, wabongo tujifunze na kufikiri kbl ya kuongea jamani. Trump hayupo km anavyotuhumiwa humu.Haaaah wacha awashugulikie sioni huruma kwa hawa miungu watu
Ajiandae kupinduliwa!I congratulate Mr. Donald Trump on his election as the President of the United States of America. Elections in the US or any country are a matter for the people of that country.
Our relationship with the United States will continue regardless of which leader or party is leading.
I congratulate Mr. Trump once again and look forward to working with him as we have been working with the other leaders before him.
View attachment 431549
Naombea M7, Comred, Nkuru nk wangelipitia huku, wakisoma comment hii angalau watapata 'pumzi bandia'!Hivi mkuu unazielewa sera za mambo ya nje ambazo trump amepledge wkt wa kampeni? Trump co mjinga, amejifunza mengi toka tawala za nyuma, hawez fanya ujinga km huu wa kuondoa au kuingilia mamlaka au viongozi wa nchi zngne, wabongo tujifunze na kufikiri kbl ya kuongea jamani. Trump hayupo km anavyotuhumiwa humu.
Kumpongeza mtu aliyewahi kutamka hivi, tena akimaanisha siku hii ya ushindi wake ndio anaanza kuyafanya haya!:
...... "Africans are lazy fools only good at eating, lovemaking and thuggery.When I become president I will overthrow Uganda and Zimbabwe and shut out Kenyans because they are liars and thieves" President Donald Trump.
Atawaondoa kwa excuse gan, wkt anailaumu serikali ya obama kuendeleza uvamizi kwny nchi za watu while marekani hainufaiki kwa loloteAjiandae kupinduliwa!
Kati ya ahadi za Trump ilikuwa ni Kuhakikisha Museven na Mugabe wanaondoka madarakani..!
No 1 na 4 hapo mkuu ckubaliani nawe kabisa
Rejea Ahadi za Trump...Atawaondoa kwa excuse gan, wkt anailaumu serikali ya obama kuendeleza uvamizi kwny nchi za watu while marekani hainufaiki kwa lolote
Nasikilizia reaction ya kaka huyuNgoja tusubirie na Comredi Mugabe kama naye atampongeza
Because they don't leave the office and compressing democracy. Haven't you heard that Museveni's competitor mr Kiza Basigye flew the country to fear the government harrassment?what concerns him untl he is going to put our leaders behind the bars??
Trump anataka waafrika wabaki nchi zao ili wazijenge na sio kukimbilia Marekani, anajua sababu ya waafrika kukimbilia Marekani ni kwa sababu ya watawala wabovu wa nchi za kiafrika.Hivi mkuu unazielewa sera za mambo ya nje ambazo trump amepledge wkt wa kampeni? Trump co mjinga, amejifunza mengi toka tawala za nyuma, hawez fanya ujinga km huu wa kuondoa au kuingilia mamlaka au viongozi wa nchi zngne, wabongo tujifunze na kufikiri kbl ya kuongea jamani. Trump hayupo km anavyotuhumiwa humu.