Akiongea kwenye halaiki ya watu 400 Rais Mugabe amesema ndani ya chama chake Cha Zanu Pf kuna watu wanamloga na wengine wakimwombewa kifo.
Asema hayo yote yanafanyika ili asiweze kugombea Nafasi ya Urais 2018 ambapo atakua na Jumla ya Miaka 94 hata hivyo chama chake tiyari kimempitisha kama mgombea wa chaguzi huo ujao.
Je kuna haja ya kiongozi Mkubwa kama Rais Mugabe kuamini vitu kama Ivyo?
Samahani mkuu pitia British broadcasting company utaipata hiyo habariKuna audio na video ya yeye akisema hivyo?
Manake huyo mzee amekuwa akizushiwa maneno mengi mno.
Kama Morgani Tsangirai alishindwa kuingia madarakani wamwache tu mzee Mpaka amue mwenyewe sasaHakuna haja. Lakini inategemea hulka za watu wa Zimbabwe kama wamebobea kwenye ushirikina.
Mugabe amefika mwisho ktk kufikiri na wala nchi yake haiwezi ku gain chochote kutoka kwake kwa hali ya sasa.
Samahani mkuu pitia British broadcasting company utaipata hiyo habari
Hapana Mkuu hapa Lema hausiki hayo ni Maono ya Mzee mwenyeweLumumba fc muda siyo mrefu watafika hapa, na kusema kuwa huyo ni Lema
... Asema hayo yote yanafanyika ili asiweze kugombea Nafasi ya Urais 2018 ambapo atakua na Jumla ya Miaka 94 hata hivyo chama chake tiyari kimempitisha kama mgombea wa chaguzi huo ujao ...
Mbona kufuli anasema tumwombee??Akiongea kwenye halaiki ya watu 400 Rais Mugabe amesema ndani ya chama chake Cha Zanu Pf kuna watu wanamloga na wengine wakimwombewa kifo.