chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,011
"Naomba Mniombee"
Trump akifanya masikhara na hao jamaa uliowataja atapata muda mgumu sana katika Uongozi wake mkuu.dah uku NK kampa kua mbwa koko kule Iran kampa kua Newcomer kwenye politics asiejua ata kwann amekua raisi dah UN ilikua tamu sana this week uku Leo IRAN ikizindua kombora lingine aina ya Ballistic lenye kuweza kisafiri 2000KM na kubeba multiple war heads zenye uzito wa 1800KG na kusema usalama wa Iran haujadiriwi kwenye baraza lolote lile
Huyu wa kwetu nae angehudhuria na "kuungurumisha" 'vitisho' vyake kama anavyofanya huku ili dunia nzima imtambue
kweli kabisa akamwambie we Trump una washwa washwa siyo bure !! na kuna kila dalili utakunwa na mtoto mdogo ambaye ni bwana kim ebow!Huyu wa kwetu nae angehudhuria na "kuungurumisha" 'vitisho' vyake kama anavyofanya huku ili dunia nzima imtambue
Huyu wa kwetu nae angehudhuria na "kuungurumisha" 'vitisho' vyake kama anavyofanya huku ili dunia nzima imtambue

Alivyo muoga angeishia kucheka cheka tu.Huyu wa kwetu nae angehudhuria na "kuungurumisha" 'vitisho' vyake kama anavyofanya huku ili dunia nzima imtambue
Deligate kutoka Zimbabwe walidai mzee alikuwa hajasinzia Ila alikuwa anakwepa mwanga usimuathiri macho!Alafu kwenye hotuba ya Trump yeye alikua anatandika mbonji tu
Fix izo, sasa mbona aliweza kusoma hotuba yake kwenye mwanga!Deligate kutoka Zimbabwe walidai mzee alikuwa hajasinzia Ila alikuwa anakwepa mwanga usimuathiri macho!
Kumbuka kafanyiwa upasuaji wa macho huyu legend.
Hotuba yake ndo iliyompeleka kwenye mkutano wa UN na sio kumkodolea macho mpuuzi trumpFix izo, sasa mbona aliweza kusoma hotuba yake kwenye mwanga!
Acha kumfananisha Mzee wetu Mugabe (Simba wa Afrika) na majina ya kijingajinga bhanaaaMzee Mugabe ni jasiri kama Tundu Lissu