Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 844
- 1,608
Rais wa zamani wa Zimbabwe, hayati Robert Mugabe ametajwa katika kundi jipya la faili za Jeffrey Epstein zilizotolewa Marekani.
Katika mawasiliano ya barua pepe ya mwak 2015 na mjasiriamali wa Kijapani Joi Ito, Epstein alipendekeza waende kwa Rais Mugabe wakati huo ili kuipa Zimbabwe sarafu mpya baada ya dola ya ndani kuporomoka kutokana na mfumuko wa bei uliokithiri nchini Zimbabwe.
Aidha, nyaraka za FBI za mwaka 2017 pia zilitoa ushahidi usiothibitishwa kutoka kwa chanzo cha siri kikidai kuwa Epstein alikuwa meneja wa utajiri wa Rais wa Rais wa Urusi Vladimir Putin na alitoa huduma hiyo kwa Mugabe.
Hata hivyo, wataalamu wanasema kutajwa kwenye faili hizo hakumaanishi kufanya kosa lolote, na hadi sasa hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa makosa dhidi ya Mugabe.