MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,541
- 6,715
Unataka kutuambia kwamba kuna team magufuli na team samia? Wapinzani mmewafukuza sasa mnararuana wenyewe msivyo na maarifaAjabu
Waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!
Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!
Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
Acha mbwembwe na maneno mengi,tuambie niwaziri yupi aliyeitisha uchunguzi au kuunda tume Kwa ajili ya kumchunguza mwenzake?na simlikuwa mnasema Magufuri alikuwa afuati sheria na taratibu,Samia amekuja kurekebisha aliyoyaharibu Magufuri,huko ndio kulekebisha au anarudia ya mangulizi wake?antMagufuri mnakazi Sana kumsafisha Samia 😆😆😄😃😀Mkuu umeandika kwa uchungu sana, bila paragraph na bila nukta isipokuwa moja tu mwishoni mwa bandiko lako 😁😁.
Kwamba?
" ... haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania ...."
Umewasahau Sabaya na Kondakta walivyo kuwa wakitisha na kuamuru wote across the board? Mwulize Majaliwa kukupa mrejesho.
Yule aliyekuwa Iringa si alikuwa anawakoromea hadi kina JK?
Ama kweli mu wepesi kusahau. Si mhamie Umoja party huko, ili mkadumishe kauli mbiu yenu ya "Huko Kazi Tu?"
Hiiiiii bagosha!
Wanajisahaulisha
Iliwahi kutokea mkuu wa mkoa kuwatisha na kuwakagua mawaziri.Ajabu
Waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!
Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!
Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
Acha mbwembwe na maneno mengi,tuambie niwaziri yupi aliyeitisha uchunguzi au kuunda tume Kwa ajili ya kumchunguza mwenzake?na simlikuwa mnasema Magufuri alikuwa afuati sheria na taratibu,Samia amekuja kurekebisha aliyoyaharibu Magufuri,huko ndio kulekebisha au anarudia ya mangulizi wake?antMagufuri mnakazi Sana kumsafisha Samia 😆😆😄😃😀
TISS unaifahamu? Mkwe yuko huko, wakati anawatuma Takukuru wao walishamaliza kazi yao huko mererani. Doto tafura kazi nyingine au kaanzishe mduara huko mbogwe .Ajabu
Waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!
Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!
Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
Hao akina JK,Sijui Sabaya ni mawaziri na walikua wanakoromea mawaziri?Mkuu umeandika kwa uchungu sana, bila paragraph na bila nukta isipokuwa moja tu mwishoni mwa bandiko lako [emoji16][emoji16].
Kwamba?
" ... haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania ...."
Umewasahau Sabaya na Kondakta walivyo kuwa wakitisha na kuamuru wote across the board? Mwulize Majaliwa kukupa mrejesho.
Yule aliyekuwa Iringa si alikuwa anawakoromea hadi kina JK?
Ama kweli mu wepesi kusahau. Si mhamie Umoja party huko, ili mkadumishe kauli mbiu yenu ya "Huko Kazi Tu?"
Hiiiiii bagosha!
Yapi mbona hautaki kuyasema?Kwanza unajua kazi ya mkuu wa mkoa na kazi ya Waziri au mnaharalisha upumbavu.Sabaya, Makonda, Hapi na wenzao walifanya makubwa kuliko yote uliyoandika. Sasa tulieni kidooogo:
View attachment 2018486
we ni mpuuzi, kwaiyo huyo doto wenu hata kama anafanya ufisadi hasitolewe hiyo wizara kisa aliwekwa na diktetaAjabu
Waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!
Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!
Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
Yapi mbona hautaki kuyasema?Kwanza unajua kazi ya mkuu wa mkoa na kazi ya Waziri au mnaharalisha upumbavu.
Jaribuni kuivunja hiyo amani,tutawapiga Hadi shangazi zenu wapuuzi nyie,Sisi ndio tumeshikilia amani ya hii nchi
Ukweli ni kuwa wezi wa mchana wameondoka, na sasa wameingia wezi wa usiku. CCM ni ile ile haijalishi ni awamu ya ngapi.Ajabu
Waziri wa utumishi kuagiza ukaguzi kwenye wizara nyingine!
Yaani mkwe wa Rais, anaagiza ukaguzi wizara ya madini ili wahalalishe kumtumbua Dotto ambae ni team Magufuli ili waweke mtu wao!
Sasa mtumbueni huyo kijana tuendelee na mambo mengine haijawahi kutokea waziri kumtishia au kumkagua waziri mwenzake ndio awamu hii tumeona maajabu ya Tanzania lakini hapana shaka mipango inajulikana ilikoanzia ionekane Dotto ana makosa ili aondokewe maana baada ya kuapishwa ulitamka kitalu C cha serikali na mkwe wako karudia kule kule hivo hakuna shaka twende kazi.
Ni kweli. Lakini na huyu naye ameingia na watu wake, bila kuzingatia ubora. Hapo ndipo kwenye tatizo.Jaribuni kuivunja hiyo amani,tutawapiga Hadi shangazi zenu wapuuzi nyie,
jiwe ndio alikuwa muhasisi wa maujinga yote na ukabila, serikalini alijaza kabila lake
Mwalimu JKN alisema "dhambi ya ubaguzi .,......Zamu yenu imefika. Mlidhani ubaguzi utaishia kwa watu wa Mbeya na Kaskazini tu?