Kenya 2022 Rais Mteule Ruto asema Mahakama Kuu haina Mamlaka kumtangaza Odinga Rais

Kenya 2022 General Election

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Kupitia majibu ya Pingamizi aliyowasilisha, Rais Mteule amesema Mahakama Kuu haitakuwa na Mamlaka ya kumtangaza Odinga kuwa Rais hata baada ya kujumlisha Kura na kuthibitisha Matokeo kama ilivyoombwa.

Ameongeza kuwa maombi ya Odinga na mgombea mwenza wake Martha Karua ni kinyume cha Katiba na kwamba Kiongozi huyo wa Azimio amedhamiria kulazimisha ushindi ili wagawane Mamlaka.

Ruto amenukuliwa akisema “Ni Pingamizi potofu, wao wanadai kuwa hakuna mgombea aliyefikia 50% ya Kura na kwa vyovyote vile, Kifungu cha 80 (4) cha Sheria ya Uchaguzi kinaizuia Mahakama hii Tukufu kutoa uamuzi wa Malalamiko kwasababu waombaji walitenda makosa ya Uchaguzi,”.
============================

President-elect William Ruto has told the Supreme Court that it has no powers to declare Azimio leader Raila Odinga the president-elect after tallying the votes and verifying the count as petitioned by his rival.

Mr Ruto says in a response filed yesterday that the prayer sought by Mr Odinga and his running mate Martha Karua on Monday is against the Constitution and Supreme Court rules.

The Kenya Kwanza coalition leader further says it is disingenuous for his main rivals in the August 9 presidential election to ask the court to declare them president-elect and deputy president-elect while claiming the election was not conducted as required by the Constitution and relevant election laws.

“It is disingenuous for the Petitioners to pursue the relief sought in the Petition while claiming that none of the candidates met the 50 per cent plus 1 threshold; and in any event, Section 80 (4) of the Elections Act precludes this Honourable Court from granting prayer (9) of the Petition to the extent that the Petitioners committed election offences,” he says in his court filings.

Mr Odinga has claimed that there is evidence of his votes being suppressed while those of Mr Ruto was increased to rig him out.

Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) chairman Wafula Chebukati declared Mr Ruto the president-elect in an announcement that was preceded by a press conference addressed by four breakaway commissioners, including deputy Juliana Cherera.

NATION AFRICA
 
Ruto mwanaume wewee. Yule ni master wa politics Africa mashariki na kati na maziwa makuu kwa jumla. Hakuna atakayethubutu kumnyang'anya ushindi wake. No one believe me.
Huyo jamaa anapaswa kujua kwamba almost marais na presidential candidates wote wadogo kwa wakubwa (including Odinga mwenyewe) wamefika hapo kwa hisani ya Ruto kifedha ama kishawishi.
 
Ruto ameshalegea
Hajalegea,Anacheza mule mule ambapo anatakiwa acheze katika mazingira ya sasa.Anaongeza maswali magumu kwa mahakama badala ya kujitetea maana anajua kwamba yeye sio mshatakiwa namba moja bali ni Tume.Na iwapo tume ilikosea kwa namna yoyte watarudia tu uchaguzi hakuna kingine.
 
Inaonekana hata Katiba ya Kenya huifahamu.Ungekuwa unaifahamu walau kidogo tu ungepaswa kujua siku ile petition ilivyopokelewa SCOK privileges zote za President elect zilisitishwa.

Wewe ndio huielwei sasa
 
Ruto is almost not involved in this case. All prayers in the Azimio petition are claiming for IEBC failure or inefficiency.
 
Back
Top Bottom