Rais mteule tutakayemchagua tarehe 25 mwezi huu ataapishwa lini?(Immediately?).Maandalizi yanaendelea Uwanja wa Taifa.Barabara zinawekwa sawa mitaa hiyo.Nawatakieni uchaguzi mwema na wenye amani.Mungu Ibariki TANZANIA

Ataapishwa Alhamis ya wiki lijalo......wajua atakuwa nani rais ajaye..? magufulijohn yaani najisikia amani na furaha iliyoje kupata
rais mchapa kazi kama yeye.