MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,412 Jul 26, 2016 #2 Duuh mbona mapema
M-mbabe JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 13,201 Reaction score 23,039 Jul 26, 2016 #3 MANI said: Duuh mbona mapema Click to expand... kweli lakini....asubuhi sana hii.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jul 26, 2016 Thread starter #4 ameutua mzigo salama salimini
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Jul 26, 2016 #5 Maisha yapo na uzee upo hvyo ni vyema kutambua kuwa hautodumu katika ujana au utoto (evolution)
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Jul 26, 2016 #6 MANI said: Duuh mbona mapema Click to expand... Mimi pia nilifikiri itakua kwa raha mustarehe.
GIUSEPPE JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 5,239 Reaction score 6,242 Jul 26, 2016 #7 Mbona kakonda shingo hivyo?
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Jul 26, 2016 #8 Urais mtamu bwana
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,437 Jul 26, 2016 #9 Ntwara. Ndani ntiti. Nje Ntiti.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,635 Reaction score 89,398 Jul 26, 2016 #11 High to low=loss something
chipaka.com JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 2,883 Reaction score 1,195 Jul 26, 2016 #12 Amekula ya Mbuzi
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 Jul 26, 2016 #13 Jamani wakati mzee Kikwete akiwa Rais alikuwa bize kututumikia wana wa nchi hivyo hakupata muda wa kufanya mazoezi ila kwa sasa amepata ndio maana mnaona amepungua kidogo
Jamani wakati mzee Kikwete akiwa Rais alikuwa bize kututumikia wana wa nchi hivyo hakupata muda wa kufanya mazoezi ila kwa sasa amepata ndio maana mnaona amepungua kidogo
vollies JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 748 Reaction score 446 Jul 28, 2016 #14 Unene siyo hoja
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,755 Reaction score 47,127 Jul 28, 2016 #15 chipaka.com said: Amekula ya Mbuzi Click to expand... Ameota mapembe