Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama na familia yake wakila bata mbuga ya Serengeti

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
754
3,097
Soma>Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama na familia yake wawasili nchini Tanzania kimya kimya

Obama.jpg

Mishell.png
 
wakuu mmechosha sasa.
Obama enzi ya madaraka yake alivyokuja bongo ,sio kutwa nzima barabara zilifungwa? vipeperushi kila mahala? fighers zinazunguka kama ndege wa angani?
hakuja na mamitambo ya kudetect snipers kwa km kadhaa? au mwaka ule we ulikuaga wapi wafanyakazi wa airport walivyopewa off ili wamarekani wa take over kisa obama?
Maghu ana mapungufu ila sio kiivyo wakuu
 
Kuna uvumi kuwa huyo rais mstaafu alivyokuja TZ alikuja kuvuna kitu na hakuja bure? mwenye habari zaidi anijuze
 
wakuu mmechosha sasa.
Obama enzi ya madaraka yake alivyokuja bongo ,sio kutwa nzima barabara zilifungwa? vipeperushi kila mahala? fighers zinazunguka kama ndege wa angani?
hakuja na mamitambo ya kudetect snipers kwa km kadhaa? au mwaka ule we ulikuaga wapi wafanyakazi wa airport walivyopewa off ili wamarekani wa take over kisa obama?
Maghu ana mapungufu ila sio kiivyo wakuu
Subiri aje Trump halafu uje useme haya unayo yasema; kwa taarifa yako hata Bush amewahi kuja Bongo kama rais wa USA na akaja tena kama mstaafu, ni hivi, yale ulio yaona kwa Obama Enzi zile akiwa raisi wa Marekani hayakufanyika kwa matakwa yake wala ya raisi wetu wa wakati huo, yalifanyika kwa matakwa ya security systems zao Wamarekani, akiisha toka madarakani huo ulinzi haupo tena. Kwani JK sasa hvi au Mkapa nao wanatembea na ving'ora kama zamani!? Si juzi kati hapa Mkwere alikua zake Sabasaba pale, barabara zilifungwa!?
 
Huelewe mambo ya dunia hii..
 
Mkuu kipindi kile alikuja Rais wa Marekani, hivi majuzi amekuja Barack OBAMA...Jaribu kutofautisha hivi vitu......
 
Subiri aje Trump halafu uje useme haya unayo yasema; kwa taarifa yako hata Bush amewahi kuja Bongo kama rais wa USA na akaja tena kama mstaafu, ni hivi, yale ulio yaona kwa Obama Enzi zile akiwa raisi wa Marekani hayakufanyika kwa matakwa yake wala ya raisi wetu wa wakati huo, yalifanyika kwa matakwa ya security systems zao Wamarekani, akiisha toka madarakani huo ulinzi haupo tena. Kwani JK sasa hvi au Mkapa nao wanatembea na ving'ora kama zamani!? Si juzi kati hapa Mkwere alikua zake Sabasaba pale, barabara zilifungwa!?
Mkuu Mkwere kuna wakati Huwa anakuwa na ving'ora Ila hakuna mbwembwe na Ulinzi kama alivyokuwa Rais
 
Raha ya utu, pamoja na kuishi maisha ya fahari, ulinzi wa kutosha kuruka na Airforce One na Support plane lakini ameona bado binadamu yeyote anahitaji kuthaminiwa kwasababu hakuna kitu chenye kulinganisha thamani sawa na uhai (wasiojulikana wajifunze toka hapa)
Ujumbe huu angeusoma jiwe na mwanawe
 
wakuu mmechosha sasa.
Obama enzi ya madaraka yake alivyokuja bongo ,sio kutwa nzima barabara zilifungwa? vipeperushi kila mahala? fighers zinazunguka kama ndege wa angani?
hakuja na mamitambo ya kudetect snipers kwa km kadhaa? au mwaka ule we ulikuaga wapi wafanyakazi wa airport walivyopewa off ili wamarekani wa take over kisa obama?
Maghu ana mapungufu ila sio kiivyo wakuu
Kipi hujaelewa alichoandika jamaa
Ngoja nikusaidie Kwanza alikuwa vile kwasababu yy was Head of State so Ulinzi sio kitu cha kuuliza Alichomaanisha Mleta mada nikwamba kwakuwa aliishi Maisha yakujali watu yuko huru kujichanganya na watu anachojiuliza nivipi yule jamaa yenu anaeua watu akistaafu ataishije?
 
Back
Top Bottom