Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Huyu kisandu hapa ni yule Feki wa Geita au yule Og mwenye matatizo ya kichwa!!
Atakuwa feki huyu...ameiba jinaHuyu kisandu hapa ni yule Feki wa Geita au yule Og mwenye matatizo ya kichwa!!
Kisandu vipi mke na watoto wako walirudi na vipi kuhusu kanisa katoliki mmeshaelewana.
Kule Pemba kwetu hatumsahau!!Mkapa yuleyule wa kiwira au unamuongelea mwingine?
Nimeshatangaza kuoa mtoto wa Mzee Barack Obama. Kuhusu watoto wangu utawajua ila kila mtoto na mama yake. Kuhusu Kanisa katoliki wao wanajua Mimi ni mtoto wao.Aksante.
na ni rais pekee alieua viwanda vyote vya umma kwa kuvibinafsisha kifisadiMoja kati ya maraisi bora kabisa waliotawala nikiwa na uelewa wangu wa kutosha..
Ni Rais pekee ambaye hotuba zake za kila mwezi, tuligombana na watanzania wenzangu kukaaa mbele ya tv..
Ni raisi ambaye kipindi anautubia bunge la mwisho wa utawala wake, watanzania walibaki na majonzi wasijue hatakayekuja hatakuwa na mtazmo gani...
Ni raisi pekee aliyeondoka madarakani na aliyemfuata alikuwa akijipambanua wazi wazi kuwa nitaendeleza pale alipoishia mzee Mkapa...
Ni raisi pekee aliyekuwa na nguvu ya ushawishi pale alipokaa na wazungu wa wenye nyazifa tofauti tofauti kwa ngazi ya UN na kuwashawishi kwenye round table...
Ni rais pekee ambaye ambaye hadi leo ana nguvu kubwa ya ushawishi kwenye chama dola..
Ni raisi pekee ambaye alisamehewa Kodi na mataifa makubwa barani ulaya na organisation za UN...
Kwangu ni rais bora kabisa kwa wakati wote, hata baada ya kuondoka nilienda kuomba tape za hotuba zake RTD dodom nikakosa..
Ni rais pekee ambaye hata sisi wapinzani tunapolitaja jina lako tunalitaja kwa unyenyekevu na heshima kubwa, hata ukikosea tunafikilia zaid ya mara tatu namna ya kukosoa...
Ni rais pekee, liyenishwishi mimi kuwa ndani ya CCM enzi za utawala wake...
Hakika huyu alivaa viatu vzr na vikamkaa vema anastaili kuvaa huusika wa Nyerere...
Ni raisi pekee aliyebishana kwa hoja na hata kushawishi watanzania waliokuwa na mtazamo hasi juu ya mbinu na namna ya kulijenga Taifa letu na wakaamia kwenye mtazamo chanya...rejea hotuba ya kufunga kampeni pale shinyanga mwaka 2005 pale alipojibu hoja za kugawa taifa katika mfumo wa majimbo ambao ulitimika kama agenda kwa kampeni za Mbowe...
Ni rais pekee miaka michache baada ya kuondoka madarakani nilifanya maamuzi magumu ya kurejea upinzani hasa baada ya mgomo wa vyuo vikuu vyote nchini mwaka 2008 kupinga means test za mikopo ya elimu ya Juu...
Mh Mkapa, kwa vizazi vya sasa hakuna hatakayeweza kukuelewa ulikuwa wa aina gani...
Watanznia wa kizazi kile tutakulilia na kukumbuka sana, endelea kupumzika Mh Ben