Rais mstaafu Kikwete apewe tuzo ya heshima

Rais mstaafu Kikwete apewe tuzo ya heshima

Fala wewe, jk kaacha deni la taifa kiasi gani. Mishahara hadi alikuwa anakopa kwenye mabank binafsi baada ya kutokopesheka. Afu tumpe tunzo Acha mambo yako. Wacha tukusanye hela. Magufuli ameingia hakukuta hata shilling ya kulipa mishahara. Na waziri wa tamisemi amshatangaza ajira next week. Increments za mishahara nazo soon. So what do you want. Acheni ulofa
Punguza povu mukuma! Unajua dini tulilokopa hadi sasa miezi michache tu ya magu? Tril 7 kwenye budget, tril 23 kwa wachina wa reli, bil 500 wa wahindi etc, jk was an economist hakuwahi kukopa zaid ya tri 3 kwa mwaka! Amechukua nchi ikiwa na deni la tril 11 hadi 40,angalia mambo yaliyofanyika!
 
Ndugu yangu wee.......napenda sana kuchangia hoja hii ili nieleze ninachodhani kuwa kuna propaganda kwenye hizi serikali zetu kuhusu hata matamko ila naogopa hizi sheria za sijui matumizi ya mitandao kula kwenyewe kunanipa shida alafu wanipe kesi si wataniua kwa mawazo......
[emoji1] [emoji1] [emoji16] [emoji1] [emoji1] [emoji15] acha uoga
 
Watanzania wengi ni wepesi wa kusahau, ni miezi takribani 9 imepita tangu tutoke ktk sarakari za huyu kakatwa huyu kaachwa, huyu wemangu huyu wetu na matokeo tumeyaona. Ukikumbana na tatizo ktk maisha yako, tafuta chanzo cha tatizo kabla ya kupambananalo ili ujue pakuanzia.
acha akili mgando ww
 
[emoji1] [emoji1] [emoji16] [emoji1] [emoji1] [emoji15] acha uoga
Mkuu naangalia ubavu nilionao.....hawa watu hawatishiki....hivyo unaweza kubeep wakakupigia hapo ndipo huwa taabu kwa sisi makabwwela.......
 
Back
Top Bottom