radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Kulikuwa na watumishi hewa lundo
Bado mishahara ililipwa na kupanda.
Ajira zilitangazwa na watu walipata ajira wakaajiriwa.
Wanafunzi hewa walikuwepo na bado walipata mikopo na fedha za field walipatiwa.
Semina serena hotel zilikuwa za kutosha.
Safari za nje kwa watumishi zilikuwepo na mambo mengine yalisonga.
Huyu kila kitu kafuta na bado analia pesa haipo anawaza kutengeneza pesa mpya ni wapi anakosea mtukufu wetu?