Rais Mstaafu, Ali H. Mwinyi amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Sothn suspicious here after Vice then Retire Pres......????????????
Tundu tunataka ukweli against the planned assassination.......
 
Nilichekaga sana pale Ancle Magu alipoandaa trick ya kupotezea issue ya Tundu Lissu kwa kumpanga yule mwanajeshi ajifanye kapigwa Risasi na akaenda kumtembelea hospitali,Hata mtoto mdogo alielewa kuwa ule ulikuwa uongo uliopangwa
 
Tungekuwa na wanawake 20 tu wa aina ya huyu mke wa Lissu faimilia ingekuwa mahali bora sana pa kuishi.
 
454: Yule mzee mwanajeshi mbona wengi wanamfahamu, walishangaa eti yuko hospitali kapigwa risasi. Hakuna cha risasi wala nini, ni geresha la kuhalalisha unyama uliofanyika ili eti waonekane kweli kuna watu wanaowapiga risasi watu. Lengo lilikuwa ni kudunisha habari ya Lissu. Lissu tunajua yupo Naoirobi, huyu mgonjwa wao mzee yuko wapi?
 
Mungu amjalie maisha marefu na mema zaidi. Tazama ana miaka 90+ lakini ameweza kufanya jambo hili. Hongera Mwinyi
 
Siku zote CCM akili kubwa dhidi ya wapenda matukio.

Alafu 2020 inakuja kwa kasi
 
Huo ndio uungwana, hongera Sana Mzee wetu, hii humuondelea mgonjwa simanzi, na kumpa faraja, pia kwenye suala la mgonjwa ku recover huarakisha
 
c16e1217c6c997ccc084a672692188d5.jpg

51ab757961bdbef9be7ac805a6b2bdf6.jpg


Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi leo amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Ndg. Tundu Lissu katika Hospitali ya Nairobi.

More to follow
Mungu mbariki Mzee Mwinyi
 
c16e1217c6c997ccc084a672692188d5.jpg

51ab757961bdbef9be7ac805a6b2bdf6.jpg


Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi leo amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Ndg. Tundu Lissu katika Hospitali ya Nairobi.

More to follow
Leo imetimia miaka miwili kamili tangu washamba wanaofahamika kumshambulia Lissu baada ya kutumwa , lakini hakuna uchunguzi wowote uliofanyika huku CCTV camera ziking'olewa na mtu anayefahamika na kuchomwa moto
 
Back
Top Bottom