Wewe kweli dunia haujui, nchi yenye nyuklia warheads nyingi ya kwanza urusi then Marekani. Hiyo North Korea hamna kitu ukilinganisha na mataifa makubwa duniani, nyinyi ndio miaka ya nyuma mlikua mnasifia sadam hussein na scud missiles, hakuna kitu hapo, huyo dogo wakimtaka seriously hawezi pona,tatizo Marekani na nchi za magharibi ushambulia sehemu zenye rasilimali, Korea kaskazini hakuna kitu so akitaka kuchapwa ashambulie American interest atakiona.