Rais Magufuli Yuko sawa Kweli?

Tabia yangu ukinidharau mi nakudharaua zaid,,,ina wezekana magufuli ana tabia kama zangu
 
Huenda madawa ya kulevya yameanza kuwasumbua wao sasa ili waache kuyatumia wanatafuta mbinu ya kuacha na wengine
 
Hii nchi ni Ya WATANZANIA na sio ya MAGUFULI...Period
 
Ndege wafananao huruka pamoja. Magufuli ni muovu kuliko hata makonda mwenyewe.
 
Nikusaidie majibu, kwanza atawasiliana nae kwa lugha gani?!
Hayo alikuwa anaongea tu kulefusha mazungumzo
 
Wee magufuli jaman skuiz nmeacha ata kuskiliza hotuba zake maan ni zakitoto sana na vitisho yaani uo u Dkt sjui alipewa na nani yaaan
 
Kusema kweli inasikitisha sana sana kwa hali ilivyo na tunakoelekea. Endapo uchaguzi utarudiwa leo basi naamini hata zile 'kura za halali' walizopata ccm 2015 zitashuka vibaya sana.
 
Siku hizi hata akiongea anajichekeshachekesha hua namuona mnafiki tu.
Uzalendo wangu kwa nchi haujapungua, ila jamaa simpendi hata kidogo, sipendi cowards wanaochukua wrong decisiona kwa sababu tu ya kukomoa.
 
ie ni kiki ya kisiasa. hamna hiyo kitu
 
Siyo mzima,anaumwa UKOAKI.
 
Kwa mapenzi makubwa kwa nchi yangu. Chonde chonde namuomba raisi wangu uelewe misdion ya wb vema. Wamegundua kuwa una uwezo wa kufanya maamuzi bila kushauriana sana na wenxio....wanapenda sana kupata mahali watapopeleka hela bila tathmini ya kutosha. Wanaitwa economic hit men. Chonde chonde wakati unatoka wawexa kuwa na deni la dola trilioni kadhaa zisizorejesheka.


 
Labda kwa uelewa wake benki ya dunia ni kama nchi iitwayo Tanzania ambayo rais ndio kila kitu. Msimlaumu unajua tumetofautiana uelewa.

Ninachojiuliza, tuliambiwa hiyo Tanzania haiitaji misaada ya wengine kwa ajili ya maendeleo yao, sasa kwa nini rais wa benki ya dunia asumbuliwe tena? Au mimi nimesahau maana hata uwezo wa kukumbuka mambo pia tumetofautiana.
 
raisi akipata uchizi katiba inasema nini? tujiandae........?????
 
Tulipanda mchicha tunategemea kuvuna ubuyu

 
Hahahahahaha,
Alisema wapi hii tena jamani?
Tanzania imepatwa na uwendawazimu

Silkiliza kati ya 1:20:00 na 1:22:00. Sentensi yako ya mwisho, "Tanzania imepatwa na uwendawazimu" umeielekeza kwa mtanzania yupi?.

 
Reactions: 999
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…