Rais Magufuli yashamshinda?

hujaeleza nini kimemshinda mbona naona yupi fit sana kuliko awamu zote unasema hata ndani ya chama chake hawana furaha sawa wasiwe na furaha kama ulikuwa unakula mali ya chama unaifanya ni mali yako sasa hayo hakuna na kufukuza ni kawaida kwani tulikuwa tunafanya kazi kwa mazoea kwamba ukiisha kuwa waziri basi unafanya unavyotaka unaitumia madaraka yako ovyo hayo sasa hayapo huyu ndio makufuli anaitwa nzagamba
 
Kweli ngali limeshiwa na upepo hata kupanda hedikopta tena hawawezi mitandao Ndio hedikopta daaaaaaaaaaaaaaa
 

kwa post hizi endelea kudanga ughaibuni brother. hupati kitu katika serikali hii
 

Hili liNyani Ngabu liko wapi lije lisome uzi wake hapa!!! Sasa siku jinsi anavyojinasibu kumpenda JPM!!! Ama kweli njaa haijawahi kumuacha Mtu salama.
 
Unasema maadui wa Magufuri ni wengi wakiwemo CHADEMA, je!! Nawewe sio adui yake ? unajua we Ni mnafiki sana,, unajipendekeza sasaivi ili wasije kukunyakua hapo kwenu tandale, maana sasaivi upo TZ

Nipo Tanzania sasa hivi? Umeniona?
 
Huyu ndo raisi wetu wa milele. tutamuomba awe raisi wa maisha kama Nkurunziza wa Burundi.
 
Shut your mouth then.

You don’t know where I am.
Njaa inakuonesha dhahiri uko wapi, tulia uzisome namba kwa kirumi.

Njaa ikizidi muombe Le Mutuz akuunganishe kwa Bashite upate walau kibarua cha kumchambisha au kumpikia chai Jerry Muro ili upate vijisenti vya kujikimu, hali ni tete na wenye pesa mjini wameshakuwa mabasha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…