eti "rais wetu mpendwa" yupi huyo faru john amaKwani kuwashwa washwa ni neno baya!? Nini hasa lengo lako kuandika hayo yote kunzungumzia Raisi wetu mpendwa!?
Unahitaji kujiongeza na ujicheke... na sio kuja kutafuta kiki humu
Rais amesema wengi wana kwenda Ikulu na kumpa ushauri sio hao wengine ambao wanatoa ushauri kwenye majukwaa au vyombo vya habari!Hii ya kuwashwawashwa ni kali. Ni juzi tu baadhi ya wastaafu walikuwa magogoni wakaambiwa msisite kutushauri. Je, huo nao siyo kuwafanya wawashwe?
EATV redio jana wametangaza kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja tu kumekuwepo na ongezeko kubwa la wagonjwa wa akili hapa nchini, kutoka watu laki sita hadi laki saba!Kwani kuwashwa washwa ni neno baya!? Nini hasa lengo lako kuandika hayo yote kunzungumzia Raisi wetu mpendwa!?
Unahitaji kujiongeza na ujicheke... na sio kuja kutafuta kiki humu
Kwahiyo awamu hii kutoa maoni kwenye vyombo vya habari ni kuwashwawashwa, unataka watu wote waende Ikulu kutoa ushauri? Haishangazi EATV redio jana wameripoti kuwa idadi ya watu wenye ugonjwa wa akili hapa nchini imeongezeka kwa kasi kubwa katika kipindi cha mwaka mmoja kutoka laki sita hadi laki saba!Rais amesema wengi wana kwenda Ikulu na kumpa ushauri sio hao wengine ambao wanatoa ushauri kwenye majukwaa au vyombo vya habari!
Alipojiuzuru Lowasa nani alichukua mikoba PINDA alifanya nini kipindi chake kumshauri JK? Mkapa alipomteua Sumaye alifuata ushauri wake kama aliufuata mbona maneno yaliyokuwa yanamtoka kinywani S. hajawahi sikika akitoa neno lolote la matusi na kashfa? Tumia akili siyo mihemko.Ni Sumaye na Lowassa, wameshiriki kuiharibu nchi kama wasaidizi wakuu wa Marais, leo eti na wenyewe wanajidai clean
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni wastaafu?Bavicha wote wanawashwa washwa tu.
'Kakionjo flani' ni matusi au kashfa mkuu!YAANI kuna raha falni hivi kumpenda mzee JPM maana kila hotuba zake kuna kakionjo flani.