Rais Magufuli una ujasiri jukwaani tu

sukari je na vifaa vya ujenzi bei zake zinakuwa hazikui, hata huku umeme sijauona ila nguzo tu.
 
Ungesoma alichoandika yeye

Siwezi kuendelea kufanya hivyo....sasa nisome kitu gani tena hapo...Paragraphs tano tu, zinatosha kujua msimamo wa mtu...very boring indeed...kila siku kulaumu, kulalamika, kushutumu, kujenga hoja zinazopingana, zenye kejeli, dharau, ujivuni ...yaani mnataka kufanya nafasi ya Urais kuwa kama ya balozi wa nyumba kumi...hamjui kuwa nafasi ya urais ni nyeti...na kwamba Rais ni Head of State...na lazima aheshimiwe...
 
Ambacho hakieleweki hapo ni kipi au nyie niwakusifiwa tu?
Sio suala la kusifiwa tu ni suala la kutaka Rais apewe nafasi afanye aliyodhamiria kufanya kwa manufaa ya maskini wa nchi hii. Mngelikuwa mnajua ukali wa maisha ya wanyonge wa nchi hii na kama kweli mnayo nia njema ya kutaka wanyonge nao wanufaike angalau kidogo tu mngeelewa juhudi za Magufuli na kumsaidia.
 
Wengine hata vikishuka hamjui Na uwezo WA kujenga haupo. Kwa tarifa fupi Tu bei cement Dar August 2015 ilikuwa 13500 kwa sasa inauzwa kati ya 10000 na 11000 kwa reja reja. Ishuke kwa kiwango gani.au ni mkumbp tu
Ni kweli kabisa, hata tofali zimeanza kushuka bei, kwa 900-950 unapata tofali hadi site.
 
Bajeti hii unaonaje nyonge amejaliwa? sukari ipo nyingi kweli kweli? Kiwanja cha ndege chato tunabana matumizi... malizia nyingine
 
Nimesoma robo tu ya taarifa hii nikaona inachosha...ni propaganda...inabidi ujitahidi (wewe mleta mada) zaidi namna ya kujenga hoja...
lazima ikochoshe kwakua akili yako chovu pia.
 
Kuiongoza Tanzania kwa ilipofikia hakuhitaji kuuungwa mkono ila nia njema tu inatosha na utashi wa kufanya hivyo. Wananchi walikuwa wezi, viongozi walikuwa wezi na vibaka na watu wa dili, wafanyakazi hewa, ten percent, vyama vyote vilikuwa kwa ajili ya maslahi yao, watu walikuwa wanafanya biashara haramu, kwa kifupi mambo mengi yaliyokuwa yanaendelea ni haramu na watu wengi ni haramu, sasa unatarajia kuungwa mkono na hawa watu ulikatisha ulaji wao haramu? Ni jambo la kushangaza unamkuta Mtanzania anamshukuru Mungu biashara yake inaenda vizuri eti kwasababu kawapiga chenga TRA, kapata kazi nzuri kwa kuhonga, analipwa mshahara wakati hafanyi kazi, kajenga nyumba na kununua gari kwasabubu kaiba hela za miradi ya maendeleo au kaiibia kampuni anayofanyia kazi, kapata degree bila kuisomea na GPA yake ni ya juu, kaenda ulaya kufanya manunuzi kwa kudanganya anaenda semina, hawa ndio Watanzania wanaomini katika ujanjaujanja na wana vivuli vingi sana na wanajua jinsi ya kukimbia vivuli vyao.
Rais atakayetaka kufanikiwa na kuja kukumbukwa na vizazi vijavyo achague kuchukiwa na Watanzania, ajitoe mhanga kutowasikiliza kabisa, ila aongozwe na dira tu, nchi yote ni ya wanaharakati, wajuaji na kila Mtanzania kwa bahati nzuri anajua sababu za sisi kuwa masikini ila hajui njia za kuondoa umasikini.
Pole sana Rais, unayo safari ndefu sana, na kama hutauvaa ukichaa basi nchi hii utaiacha masikini zaidi kuliko ulivyoikuta
 
Nyie mnaotafutaga 'data' sahihi ndio mnaotuleteaga shida tu! Hivi wewe huuoni umaskini ulivyotamalaki nchini mpaka upewe data sahihi! Ama kweli Nyerere alikuwa sahihi aliposema 'Tanzania itajengwa na wenye moyo!'

Hivi wakati waziri Dr. Mpango anatoa hali ya uchumi Tanzania pale Bungeni hukumsikia akiongela umasikini kwa kutumia 'data' za last census na household budget survey zilizowekwa kwenye mtindo wa ramani i.e. poverty mapping'? Study ifanyike kujua kiwango cha wananchi wanaohitaji Bunge live au la, na uzito wa uhitaji huo kwa mitazamo yao badala ya kubwagiwa percentages hapa bila kujua zimetokea wapi zaidi ya kuzipata bila process/ approach inayokubalika.
 
Hivi huyu Gurumo si ndiye Mhariri wa Tanzania Daima? Sina hakika kama bado yupo huo ama alishatiweka. Sitegemei akawa mshauri mzuri kwa Rais
 
Mkuu, inasikitisha sana kuona hata akina Gurumo, kada wa CHADEMA akililia bunge liwe live ilhali mambo yao wanafanya gizani
 
Kwa lugha nyingine hii kitu inaitwa HUTAKI UNAACHA , mtu kapewa za uso waziwazi mchana kweupeee !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…