Ninayofundishwa chuo na kinachoendelea nchini kwangu ni vitu viwili tofauti. Huku naambiwa serikali inapata uhalali wa kuendesha maisha yangu kwa kuwa nimeipa ridhaa hiyo na kwamba mimi ndiye muamuzi wa mwisho juu mustakabali wa maisha yangu na namna ambavyo serikali inapaswa kuongoza. Kinachoendelea daaah serikali inavunja mkataba tulioutengeneza baina yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.