Rais Magufuli una ujasiri jukwaani tu

Ugeelewa thread ungetuli tu
 
Mada nzuri, tatizo naamini wengi watakuja na kusoma kichwa cha habari na kutoa maoni. Tuna taifa la watu wasiopenda kusoma, hasa makala ndefu kama hii.
Haswa ndio maana tunapelekwa pelekwa tu
 
Huyu mwandishi huyu awe makini tena sana tusije tukasikia kwamba amepata madhara kutoka kwa watu wasiojulikana? Mwenyezimungu amlinde Amin.
huyu jamaa mra ya kwanza nasoma makala yake mwanahalisi, nikagundua kuna watu nchi hii wamejitolea sio bure. hata wabunge na kinga zao hawawezi kudhubutu haya.
 
Asiyesikia la Mkuu!!!! Mkuu ni Nani? Mwenye busara na maono....si Mkuu kwa madaraka
 
Mada nzuri, tatizo naamini wengi watakuja na kusoma kichwa cha habari na kutoa maoni. Tuna taifa la watu wasiopenda kusoma, hasa makala ndefu kama hii.
Mada hii ndefu imeharibu 'uzuri' wake kwa kutumbukiza vitu visivyo na tija kwa Watanzania maskini ambao ndio wengi. Ansbert sikatai ni mwandishi mzuri mwenye hoja. Lakini hoja zake zinaelekezwa kusaidia wanyonge ama ni hoja za kukosoa na kufifisha juhudi za watawala? Rais keshachagiliwa na kushika madaraka midhali keshaonyesha dhamira ya kusaidia wanyonge ni vema tukimsaidia kutekeleza azma hiyo badala ya hoja za kumkosoa ili aonekane hafanyi lolote la maana. Wakosoaji jiulizeni mnafanya hivyo kwa manufaa ya wanyonge kweli ama mnafanya hivyo kutafuta umaarufu muonekane wajuaji?
 
Hawa ni wale wa kusifu na kuabudu . Anadai wako 80 percent wakati kura tu walirekebisha kupata hiyo 58 percent
 
Ambacho hakieleweki hapo ni kipi au nyie niwakusifiwa tu?
 
Nimesoma robo tu ya taarifa hii nikaona inachosha...ni propaganda...inabidi ujitahidi (wewe mleta mada) zaidi namna ya kujenga hoja...
 
Hii barua kama mkulu kaisoma itakua kaishia aya ya kwanza.
 
Hivi umesoma aliachoandika au umesoma kichwa cha habari tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…