MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Baada ya hili zoezi la watumishi 9900 la vyeti fake kuondolewa ktk utumishi wa umma nadhani sasa kila mmoja ambaye anataka kujiunga na ajira hii itakuwa makini sana na vyeti vyake.
Na hii italeta mfumo mwingine wa namna ya kuajiri ktk utumishi wa umma hasa ktk kuhakiki vyeti kwanza kabla ya kutoa ajira kama ilivyokuwa zamani.
Na kila mmoja atawajibika kwa kadri ya uwezo wake ili lisitokee tena.
Rais Magufuli umeweka historia nyingine ktk utumishi wa umma kuhusu ukweli wa documents.
Jamani watanzania tusome na tuache kununua vyeti mitaani hasa vya secondary form four na form six.
Wengi vyeti vya taaluma wanavyo na kweli ni vya kwao shida ni vyeti vya secondary