Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,612
Mtu anayeitazama Tanzania ambayo uongozi wa nchi unaongozwa na falsafa ya miaka kumi ya uraisi, ni lazima atakuwa kajifunza mambo mengi.
Atakuwa keshagundua kwamba ufanisi halisi wa awamu ya kwanza ulikuwa ni katika kipindi cha miaka mitano ya mzee AHM, miaka mitano baada ya awamu hiyo ndio iliyoaliua azimio la Arusha yaani mwaka 1992. Miaka mitano ya BWM ndio iliyompatia mheshimiwa huyo lile jina maarufu la Mr. Clean, lakini huo usafi wa jina hakukuweza kufanana na yule alipewa mamlaka ya kuiongoza nchi ndani ya awamu ya tatu.
Kiongozi mkuu wa awamu ya nne na yeye hakubaki nyuma katika kurithi tabia za majivuno na mbwembwe, aliingia kwenye uongozi akiahidi neema kwa wana tasnia ya habari lakini kinachoshuhudiwa na ule ule moyo wa ukatili!.