Kiukweli Kama kungekuwa na viongozi waliopanda basi moja na Rais wao basi nchi ingekuwa mbali Sana.Awamu hii ni ya "One man show". DED, DC DAS, RAS, N/waziri ama waziri akijitia kutia neno ama mkakati wake anakosolewa mbele ya hadhara.
Rejea issue ya :-
machinga- ma -RC walianza kuwapangia maeneo akaapikia makavu.
-mwakyembe na issue ya vyeti vya kuzaliwa
Rais Dr John Magufuli toka umeingia madarakani 6th November 2015 ulipanga mikakati mizuri na kuanzia kazi kwa speed Kali sana.
Na ulipotangaza Baraza la Waziri watanzania walikuwa na matumaini makubwa sana hasa baada baada ya utumbuaji majipu na ziara za kushitukiza ktk idara na maeneo tofauti ya Huduma kwa wanainchi!!
Pamoja na juhudi zako kubwa Mh Rais Magufuli hebu geuka nyuma kidogo kuangalia ile timu yako ya Mawaziri, DED,RC,DC n.k wako wote au wengi wao ulishawaacha 1000kms Hata huwaoni tena??
Kila siku nasikia sauti na maagizo yako tu kila kona,kila idara,kila sekta,je wanatakiwa kufanya hayo wako wapi Mh Rais??
Kila nikiangalia mabadiliko ninayoyatarijia kutoka ktk hotuba ya kwanza ya Rais pale Bungeni kama siyaoni!?!
Washauri wa Rais mko wapi?!?
Huwezi kuwa na Ahadi bila kuwa na mikakati ya kutekeleza ahadi hizo.Ndiyo maana unasikia mikakati ya utekelezaji ktk kila bajeti ya Serikali.Kwanza edit hii post yako, sio alikuwa na mikakati mizuri, sema alikuwa na ahadi na maneno mazuri. Na kwa hili namsifu bado amekuwa ni mwenye maneno na ahadi nzuri mpaka sasa. Otherwise tuonyeshe hiyo mikakati ni ipi, iliandaliwa wapi na katika forums zipi na watekekezaji ni wepi? Kama tumeenda kuzindua barabara iliyozinduliwa na kuanza kutumika takribani miaka 3-5 huko nyuma, then what do you expect?
Yupo Agrrey Mwanri yaani anaspeed mdomoni wakati maghu anakimbia majukwani na show off Mwanri ye anakunja uso kwa speed
Kasi IPI ya kuongeza being ya bidhaa? Kama sukari, unga etcWatanzania walizoea kulala ndo maana wanashindwa kuadopt kasi ya mh. Wengi ni wazembe na wagumu kubadilika
Ushauri wako ni UPI ili bei zishukeMaendeleo yapi ambayo Rais ameshayaleta mpaka hivi sasa??
Unababaika na speech zake za majukwaani??
Akili nyingine bwana!
Mtu amekuta bei za bidhaa muhimu kwa mahitaji ya wananchi zikiwa nafuu hivi sasa kila kitu bei juu. Nipo Babati hapa Sukari kilo Sh 3700/, unga wa mahindi 2300/.
Kwako ndio maendeleo hayo??
Kwahiyo Tanzania haina Rais?? Sasa kama nchi haina Rais mbona mizinga 21 inapigwa anapigiwa nani?Nilipomsikia anasema kwamba wanafunz waliopata ujauzito kwa utawala wake hatawapa nafas ya kurud shule nikajitosheleza kabisa kwamba hapa hatuna mtu