tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Rais Dr John Magufuli toka umeingia madarakani 6th November 2015 ulipanga mikakati mizuri na kuanzia kazi kwa speed Kali sana.
Na ulipotangaza Baraza la Waziri watanzania walikuwa na matumaini makubwa sana hasa baada baada ya utumbuaji majipu na ziara za kushitukiza ktk idara na maeneo tofauti ya Huduma kwa wanainchi!!
Pamoja na juhudi zako kubwa Mh Rais Magufuli hebu geuka nyuma kidogo kuangalia ile timu yako ya Mawaziri, DED,RC,DC n.k wako wote au wengi wao ulishawaacha 1000kms Hata huwaoni tena??
Kila siku nasikia sauti na maagizo yako tu kila kona,kila idara,kila sekta,je wanatakiwa kufanya hayo wako wapi Mh Rais??
Kila nikiangalia mabadiliko ninayoyatarijia kutoka ktk hotuba ya kwanza ya Rais pale Bungeni kama siyaoni!?!
Washauri wa Rais mko wapi?!?