Rais Magufuli, tunaomba punguza posho za wabunge ambazo ni bilioni 70

kanone

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
6,188
1,576
Serikali tunaitaji usawa katika mgawanyo wa pato LA taifa na hii iwe sawa kwa watumishi wote
Lakini kila MTU alipwe sawa na kile anachokichagia katika kuongeza pato la taifa,wabunge wanalipwa posho kubwa kuriko watumishi wote wa serikali lakini lakini hizo posho AMBAZO ni BL 70 je zinaongeza kiasi gani ktk pato LA taifa ili kuwapunguzia mzigo walipa kodi masikini?
Tu naomba zipunguzwa na kubaki BL 30 kiwango ambacho bunge lisiwe mzigo kwa walipa kodi katka kuwapunguzia mzigo wananchi wa kawaida
 
Huu uzi pro-Chadema lazima waupite mbali , umwambie Mbowe , Lema, Lissu, hizi habari za kupunguza posho unataka wakupinge ngumi za uso.
 
Baadhi ya wabunge wameahidi kutochukua posho zao za vikao vya bunge badala yake wanataka fedha hizo zitumike kuwahuduumia wananchi wa majimbo yao kutoa huduma za kijamii na kuchangia miradi ya maendeleo. Pamoja na wabunge hao kuazimia hivyo bado maisha yao yanakwenda vizuri kabisa. Hivi ikiwa mbunge analipwa mshahara na marupurupu (posho) mengine tofauti na ile ya vikao, na kazi yake ni kuwawakilisha wananchi, kuna ulazima kwa wao kulipwa posho za vikao? Wabunge wa upinzani ambao wanajionyesha kwa umma kuwa wanapigania maslahi ya umma, mbona hawaanzishi hoja ya kufutwa posho za vikao kwa wabunge ili serikali iweze kubana matumizi?
 
Mkuu linapokuja suala la posho Chadema na CCM wanakuwa kitu kimoja.

Wabunge wawili tu ndiyo hawachukui posho za bunge.

Elibariki Kingu na Zitto Kabwe.
 
Muhimili wa bunge nafikiri ( sina hakika) ndio una bajeti ndogo, kwanza watumishi na idara ni chache.
Hili ndio linawafanya hata wadai zaidi, kama ni posho mihimili yote iguswe au kuwe na sheria kuhusu viongozi wa kisiasa
 
Mkuu kwa faida ya JF unaweza kutujuza hizo bajeti za mihimili mingine ukubwa wake wa bajeti zake?
 
Wabunge wenyewe ndio wanatakiwa kujiangalia na kuamua kujipunguzia posho. Kwani hawa watu wanamishahara na kuwa bungeni ni part ya kazi zao kwanini tunawalipa posho zaidi. Na uwakika posho ikitolewa kuna wabunge wengi wataamua kuachana na siasa.
 
Kwenye suala la mkwanja hapo ndipo utaona maajabu, Tundu Lissu anaongea lugha moja na Nape
 
Ili nalo jipu, tena mzigo mkubwa kwa wananchi, tatizo baadhi ya wabunge wapo kwa ajili ya maslai yao binafsi na wala sio taifa, ndio maana wanakuwa vichwa ngumu kuzungumzia suala la kupunguzwa posho za wabunge.
 
Natamani vikao vya maslahi ya wabunge vingekuwa vinaruka hewani live ili tuwaone wapenda mabadiliko kina Mbowe, Kubenea, Mnyika, Lissu wanavyosusia posho na kutoka nje
 
Naunga mkono hoja, Ni wizi wa mchana kulipwa mara mbilimbili kwa kazi unayoifanya!. hawa Wabunge wanalipwa mshahara kila mwezi,kwa nini basi walipwe seating allowance kwa kazi ileile wanayolipwa kwayo?

Kitu kingine ni kwamba ili uwepo usawa nchini basi ni vyema hizi posho za wabunge zikaondolewa. Raisi Magufuli ameshaondoa seating allowance kwa watumishi wengine wa Umma Je ni kwa nini hafanyi hivyohivyo kwa Wabunge?
 
Mkuu kwa faida ya JF unaweza kutujuza hizo bajeti za mihimili mingine ukubwa wake wa bajeti zake?
Fungu 40: Mfuko wa Mahakama
Matumizi ya Mishahara - Sh. 48,998,032,000

Matumizi Mengineyo - Sh. 89,087,667,000

Matumizi ya Maendeleo (Ndani) - Sh. 20,000,000,000

Matumizi ya Maendeleo (Nje) - Sh. 401,814,000

Jumla - Sh. 158,487,513,000
 
Serikali tunaitaji usawa katika mgawanyo wa pato LA taifa na hii iwe sawa kwa watumishi wote
Lakini kila MTU alipwe sawa na kile anachokichagia katika kuongeza pato la taifa,wabunge wanalipwa posho kubwa kuriko watumishi wote wa serikali lakini lakini hizo posho AMBAZO ni BL 70 je zinaongeza kiasi gani ktk pato LA taifa ili kuwapunguzia mzigo walipa kodi masikini?
Tu naomba zipunguzwa na kubaki BL 30 kiwango ambacho bunge lisiwe mzigo kwa walipa kodi katka kuwapunguzia mzigo wananchi wa kawaida
Umeandika vizuri sana na wazo lako zuri but lina ukakasi sana, posho sio neno ila nadhani ingekuwa na maana zaidi kama tungefuata maoni ya Katiba ya Warioba na kuwa na Wabunge 75 otherwise huku ni kulia lia kusiko na tija!Au mmeshasahau maoni ya Warioba?
 
Naunga mkono hoja, Ni wizi wa mchana kulipwa mara mbilimbili kwa kazi unayoifanya!. hawa Wabunge wanalipwa mshahara kila mwezi,kwa nini basi walipwe seating allowance kwa kazi ileile wanayolipwa kwayo?

Kitu kingine ni kwamba ili uwepo usawa nchini basi ni vyema hizi posho za wabunge zikaondolewa. Raisi Magufuli ameshaondoa seating allowance kwa watumishi wengine wa Umma Je ni kwa nini hafanyi hivyohivyo kwa Wabunge?
Posho hizo ziko kwa mujibu wa Kisheria na sheria hawajafuta na kwa kifupi tu sheria zinatungwa na Wabunge, ile ni haki yao ya msingi kisheria, kama tulitaka kubana matumizi tungeanza kwanza kuyafanyia kazi maoni ya Mhe. Warioba na kuwa na wabunge 75 tu, wangetosha na tungeokoa pesa mingi sana
 
Ili nalo jipu, tena mzigo mkubwa kwa wananchi, tatizo baadhi ya wabunge wapo kwa ajili ya maslai yao binafsi na wala sio taifa, ndio maana wanakuwa vichwa ngumu kuzungumz? suala la kupunguzwa posho za wabunge.
hapo makamanda mmegusa pasipo penyewe. naona mnataka matusi. halafu wanaendelea kuitia hasara serikali eti tbc ionyeshwe live. bila kujua pale kuna gharama ya bilioni 4. zinatoka wapi.?? na nani hasa anayelipa kodi hii, wangapi ? kama sio asilimia kubwa ni wafanyakazi maofisini na viwandani na mashambani kwa uchache.
 
Huu uzi pro-Chadema lazima waupite mbali , umwambie Mbowe , Lema, Lissu, hizi habari za kupunguza posho unataka wakupinge ngumi za uso.

Kama na jeuri punguzeni tuwaone?. Hivi unadahani wabunge wa Upinzani ni njaa kama wakweni Lumumba?
Ungewatafuta wengine wa kuwtolea Mfano na siyo Lissu au Mbowe! Unadhani Lissu ana njaa?.
Hujui fani yake?. Umesahau mpaka sasa amekwisha wa garagaza kesi ngapi za Uchaguzi?
 
Back
Top Bottom