Hatari sanaHiyo Tril haifiki...hizo ni fix tu...reje mikopo ya kukurupuka yenye riba ya aibu....!!! Hakuna hayo mapato....ngoma imeshuka wamaishia 750b kwa mwezi!!! Hakuna kitu! Meli unazoziona ni mzigo wa transit local imports zimesimama....haku kituu!! Porojo! BoT wanaficha data siku hizi.....mazao ya export kuleta dolla hakuna ime drop 45% na zitazidi kudondoka!!!
Hiyo Tril haifiki...hizo ni fix tu...reje mikopo ya kukurupuka yenye riba ya aibu....!!! Hakuna hayo mapato....ngoma imeshuka wamaishia 750b kwa mwezi!!! Hakuna kitu! Meli unazoziona ni mzigo wa transit local imports zimesimama....haku kituu!! Porojo! BoT wanaficha data siku hizi.....mazao ya export kuleta dolla hakuna ime drop 45% na zitazidi kudondoka!!!
Jamaa muongo sana unajenga barabar unasahau kulipa watumishi wanaokurahisishia utendaji wako? daaa huyu jamaa hatar sana
Kajaa mipisho tu mara sijui unatekeleza ilani ya ccm mara uchama haupo hapa jamani dishi limeyumba ukweli nawaambia.
Za mbayuwayu ongeza nazako. JK buanaNimemsikia JPM akisema kwamba malipo ya deni la taifa ni Tsh bilioni 950
MAONI
Tunajua kwamba makusanyo kwa sasa ni trilioni 1.2,
Kinachobaki ni bilioni 700 au trilioni moja,
Mishahara ni bilioni 500,
Inabaki bilioni 200-300
Je tutafika?
Kuna faini za mskosa ya barabarani mkuu, hicho kimekuwa ni chanxo kikuu cha pili cha kodi, kwa hiyo pesa ipo!Nimemsikia JPM akisema kwamba malipo ya deni la taifa ni Tsh bilioni 950
MAONI
Tunajua kwamba makusanyo kwa sasa ni trilioni 1.2,
Kinachobaki ni bilioni 700 au trilioni moja,
Mishahara ni bilioni 500,
Inabaki bilioni 200-300
Je tutafika?
Wewe unajua vyanzo vya serikali kutoza kodi tu? Vipi kuhusu mashirika ya umma?Sio kweli?
Ina maana TRA inakusanya 2+Trilioni kwa mwezi??
Kwa mzunguko upi wa biashara??
Wewe unajua vyanzo vya serikali kutoza kodi tu? Vipi kuhusu mashirika ya umma?