Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Mwanzo Watu Waliamini Wanaweza Kuleta Mabadiliko Kupitia Sanduku La Kura.Anatuona mazuzu sana lakini yote yana mwisho. Hakuna mtawala aliyekuwa katili kama Jean Baptise Bhokasa. Wapinzani wake aliwakamata na kuwalisha mamba wake.
Leo tunamsoma kwenye vitabu tu. Amepumzika anaposahili.
Mkuu upo sahihi kabisa, binafsi naumia kila ninapomuona mbunge niliemchagua anahangaika na kesi za kisiasa mahakamani , naifikiria familia ya Akwilina, Azory, Ben Saa nane, Tundu Lissu na wengine waliopoteza wapendwa wao moyo unaniuma sana, kama yote haya ni kwa sababu ya siasa ni heri nisiwe sehemu ya laana hiiMungu amejibu maombi yako, na haja ya moyo wako, ni nani asiyejua kuwa wewe hutaki kabisa upinzani Tanzania?
Hujifichi kuonyesha chuki yako hadharani dhidi ya upinzani.
Naomba nikuulize Tafadhali mheshimiwa Rais, Kama nitakukosea nisamehe bure .
Risasi alizomiminiwa Tundu Lissu na watu wanaoitwa "wasiojulikana ". ingekuwa risasi hizo kwa mfano kamiminiwa mkuu wa mkoa au waziri yoyote, hao wahalifu wangekuwa hawajapatikana?
Tuna makovu ya mateso mengi, kuwa mpinzani hapa Tanzania ni kuchagua kifo, bado tunamwomboleza mawazo, Ben Saanane, Kanguye, Azori Gwanda na wengine wengi.
Mheshimiwa Rais, hatutaki kupiga kura ili tukipishe chama chako kitawale milele Kama wewe unavyotaka sasa wakuu wa mikoa na wilaya watatufanyaje?
Tumeamua kupumzika ili nyie mnaopendwa sana muendelee kupendwa na kutawala milele, ajabu tena imekuwa kero.
Na 2020 pia hatutapiga kura, tuache tupumzike, Tafadhali Tumechoka.
Wana CCM wapo wengi watapiga kura na kujipatia ushindi mnono.
Tumeshajua hata tukipiga kura hatushindi kwa sababu CCM huwa inashinda hata kabla ya kupiga kura sasa tunapiga kura za nini?
Tuache tupumzike.
Na wewe tutakusoma kwenye vitabu tu dada Mungu akikuchukua!Anatuona mazuzu sana lakini yote yana mwisho. Hakuna mtawala aliyekuwa katili kama Jean Baptise Bhokasa. Wapinzani wake aliwakamata na kuwalisha mamba wake.
Leo tunamsoma kwenye vitabu tu. Amepumzika anaposahili.
Ujinga wao ndiyo uliopelekea kufikishwa mahakamani mkuu.Mkuu upo sahihi kabisa, binafsi naumia kila ninapomuona mbunge niliemchagua anahangaika na kesi za kisiasa mahakamani , naifikiria familia ya Akwilina, Azory, Ben Saa nane, Tundu Lissu na wengine waliopoteza wapendwa wao moyo unaniuma sana, kama yote haya ni kwa sababu ya siasa ni heri nisiwe sehemu ya laana hii
Aanza na wewe!Muroto toa kipigo cha mbwa koko kwa wasiojiandikisha kupiga kura
..na Kisha akawala nyama!!!....Hakuna mtawala aliyekuwa katili kama Jean Baptise Bhokasa. Wapinzani wake aliwakamata na kuwalisha mamba wake..
usipopiga kura wenzio watapiga,mshindi atatangawa na atakua kiongozi siyo tu kwa walio mchagua hata kwa wewe ambae hukupiga kura so pole sana