Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

Kairukia yeye anadaimpango wa kupandisha madaraja na increment upo sio kupandisha mshahsra kwa maana ya kubadili kima cha chini chs mshahara ndio ambacho hakipo kwahiyo ambao hawako kwenye mpango wa kupanda madaraja watasubili sana

Huo wimbo wa Mh. Kairuki umeshachuja sasa
 
wataalam wa uchumi waniambie miezi ya jan2016 tulikuwa tukiambiwa uchumi uko juu,hatukuona ajira,hatukuona mishahara,hatukuona miradya maendleo,tukasubiri 2017 tukapambana na hali ileile zaidi vyeti feki taarifa za uchumi zikafa.KW sasa tunaambiwa hela za mishahara ziende kwenye miradi ya maendeeo ambako maendeleo yanafanyika wilaya gani wanajf mnijuzi,wapi barabra zinajengwa?,madawa shule bora nk nijuzeni
 
Rais akubali tu kupokea mawazo ya wapinzani kama yana mapungufu wayaboleshe, la sivyo hali ni mbaya sana
 
Mnao sema tubadilishe kariba; kwani zoezi zima la katiba litasimamiwa na serikali ipi?
 
Mheshimiwa Rais ameyaongea hayo katika mkutano mkuu was 33 wa ALAT jijini Dar es Salaam.

Kwa hiyo wafanyakazi jipeni moyo, msubiri mpaka uchumi utakapokua japo haijulikani ni lini uchumi utakua.

Maswali magumu:

=>Uchumi/ uzalishaji unatakiwa ufikie kiwango gani ili mishahara iongezwe?

=>Ni nchi gani yenye uchumi mkubwa na ikajiona ina uchumi mkubwa kisha kuridhika?

=>Je, ahadi alizo ahidi zilikiwa za uwongo kuwa akiwaondoa watumishi hewa na wenye vyeti feki ataongeza mishahara?

Inawezekana mheshimiwa Rais ana lengo jema ila siku zote UONGO NA UKWELI VYOTE VIWILI HAVIWEZI KUTOKA KWENYE KINYWA KIMOJA, NA IKITOKEA NI WAZI HATA UKWELI ULIOTOLEWA UNATAKIWA UTILIWE MASHAKA.
 
wataalam wa uchumi waniambie miezi ya jan2016 tulikuwa tukiambiwa uchumi uko juu,hatukuona ajira,hatukuona mishahara,hatukuona miradya maendleo,tukasubiri 2017 tukapambana na hali ileile zaidi vyeti feki taarifa za uchumi zikafa.KW sasa tunaambiwa hela za mishahara ziende kwenye miradi ya maendeeo ambako maendeleo yanafanyika wilaya gani wanajf mnijuzi,wapi barabra zinajengwa?,madawa shule bora nk nijuzeni
Mbona mishahara bado inakidhi haja, mpendwa presidaa wetu Magu we endelea tu na ujenzi wa reli e.t.c, vikikamirika hivyo ngawila itapatikana kwa wingi sana! Niwaonye mapema mnaotaka kuanza toa povu! Kwani mnataka mshahara ufike kiwango gani ili mridhike? Kaza buti Magu kaza buti mpaka reli ifike mwisho wake Mza na Kgm
 
RAIS WANGU MPENDWA YUPO SAHIHI KABISA, nakuongeza vipi mshahara wakati no productivity.. TUFANYE KAZI KWANZA NA TUONGEZE UZARISHAJI TUONE FAIDA NA BAADA YA HAPO TUTAKUPA BONUS NA KUKUONGEZEA MSHAHARA KAMA HUTAKI ACHA KAZI..

Acha ujinga mkuu; unapoongea jaribu kuhusisha akili kabla ya mdomo kuzungumza. Haya ni maisha ya watu kama ww sio mwajiriwa ukae kimya. Waachie wenye ngoma wacheze.
 
Back
Top Bottom