- Thread starter
- #241
Raisi huyu ni muwazi lakini mbona hataki kulipa mafao ya PPF kwa wastaafu wa ATCL baada ya uhakiki kufanyika. Inatia wasi wasi pale katibu mkuu wizara ujenzi anaposhindwa kutekeleza makubaliano na amri ya mahakama iliyotaka mali za ATCL kunadiwa ili kuwalipa wazee wastaafu na serikali kuingilia kati eti watawalipa kitendo ambacho hakijafanyika hadi leo. Serikali hii ni ya mtu mmoja tu wengine mazezeta. Hata mihimili mingine kama mahakama sasa haina nguvu dhidi ya taasisi na serikali ipo kuhukumu watu binafssi tu.
Utasikia eti wanao lalamika wote ni wapiga dili eeeeh!! Wapiga dili?