Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

RAIS WANGU MPENDWA YUPO SAHIHI KABISA, nakuongeza vipi mshahara wakati no productivity.. TUFANYE KAZI KWANZA NA TUONGEZE UZARISHAJI TUONE FAIDA NA BAADA YA HAPO TUTAKUPA BONUS NA KUKUONGEZEA MSHAHARA KAMA HUTAKI ACHA KAZI..
Uzalishaji sio "uzarishaji"
 
Serikali lazima iwe productive, tunapoongelea productivity sio kuingiza cash tu lahasha bali tunaongelea pia akili, kushauri na ubunifu.. Kupitia ubunifu na ushauri mzuri ni rahisi kuspeed up production maeneo mengine kama magereza, hospitali na taasisi nyingine.. Kama mwalimu atafundisha vizuri na kutoa product nzuri itakayolisaidia taifa kiutendaji na kimawazo kwanini tusiseme serikali inazalisha..

Taasisi kama TPA, TRL, NSSF, TRA, TAA, TCRA, ATCL, TTCL nk zikifanya kazi vizuri zinaweza kabisa kuwa productive na kuliingizia taifa mapato makubwa sana, Magereza kupitia wafungwa tunaweza kabisa kuifanya kuwa productive, JKT,JWTZ zinaweza kabisa kuwa centre of innovation and technology taifa likasonga pia..Hospitali zetu kupitia wataalamu wetu tunaweza kabisa kuzinunulia vifaa na operation za vichwa, moyo nk vikafanyika na dunia ikawa inakuja na sekta ya Afya ikawa productive pia, HIVYO VYOTE HAWEZI KUWAZA RAIS PEKEE wengine wanatakiwa wawaze na kutenda..

Alipokua anasema hashauriki ulimuelewa? Nani wa kumshauri wakati wote wamejaa woga na hofu?

Hii nimeipenda, itawafungua wengi akili na kujiongeza kwenye shughuli binafsi. Kwa muktadha huo, huenda uchumi wa nchi ukakua.
 
Yaani huyu Bunge lingekua na watu wenye Akili basi lingempigia kura ya kuto kua na imani nae, haiwezekani nchi inaendeshwa na mtu muongo na bado anachekewa chekewa tu

Pia mikataba ya ajira inakyukwa, wabunge wetu ni jamii ya akina msukuma unategemea nini?
 
kwa asilimia kubwa wafanya kazi wa serikali wanatoa huduma,kwa hyo ni vigumu sana ku calculate uzalishaji wao in terms of money,ukiacha TRA na maliasili waliobakia ni huduma tu

Nafikiri pia wanawakuu wao ambao wanawaongoza kwenye idara zao, kama ni nurse au daktari lazima tuwe na kitu cha kumpima utendaji wake wa kazi . Mwalimu wa physics kwa mfano lazima tujue performance ya physics ya wanafunzi wake na uelewa pia wa somo analofundisha... sio lazima ulete hela ndio tuseme wewe unazalisha hapana ila tunaongelea individual performance ya mhusika kwa kitu anachokifanya..
 
Alipokua anasema hashauriki ulimuelewa? Nani wa kumshauri wakati wote wamejaa woga na hofu?

Hii nimeipenda, itawafungua wengi akili na kujiongeza kwenye shughuli binafsi. Kwa muktadha huo, huenda uchumi wa nchi ukakua.

Sio lazima ushauri, tenda matokeo yaonekane... na sio kila mtu yuko kwenye position yakushauri wengine ni watendaji..
 
Serikali lazima iwe productive, tunapoongelea productivity sio kuingiza cash tu lahasha bali tunaongelea pia akili, kushauri na ubunifu.. Kupitia ubunifu na ushauri mzuri ni rahisi kuspeed up production maeneo mengine kama magereza, hospitali na taasisi nyingine.. Kama mwalimu atafundisha vizuri na kutoa product nzuri itakayolisaidia taifa kiutendaji na kimawazo kwanini tusiseme serikali inazalisha..

Taasisi kama TPA, TRL, NSSF, TRA, TAA, TCRA, ATCL, TTCL nk zikifanya kazi vizuri zinaweza kabisa kuwa productive na kuliingizia taifa mapato makubwa sana, Magereza kupitia wafungwa tunaweza kabisa kuifanya kuwa productive, JKT,JWTZ zinaweza kabisa kuwa centre of innovation and technology taifa likasonga pia..Hospitali zetu kupitia wataalamu wetu tunaweza kabisa kuzinunulia vifaa na operation za vichwa, moyo nk vikafanyika na dunia ikawa inakuja na sekta ya Afya ikawa productive pia, HIVYO VYOTE HAWEZI KUWAZA RAIS PEKEE wengine wanatakiwa wawaze na kutenda..
TRA na polisi si ndio wanavunja rekodi ya makusanyo kila mwezi? Ufaulu wa wanafunzi kila mwaka unaongezeka. Ni kitu gani zaidi mnataka!!! Kilichobaki ni kufanya kazi kadiri ya malipo. Malipo kidogo na matokeo yawe kidogo. Fair game.

Kamwambieni alowatuma kachemka.
 
Nafikiri pia wanawakuu wao ambao wanawaongoza kwenye idara zao, kama ni nurse au daktari lazima tuwe na kitu cha kumpima utendaji wake wa kazi . Mwalimu wa physics kwa mfano lazima tujue performance ya physics ya wanafunzi wake na uelewa pia wa somo analofundisha... sio lazima ulete hela ndio tuseme wewe unazalisha hapana ila tunaongelea individual performance ya mhusika kwa kitu anachokifanya..
okay kwahiyo pesa za kuongeza mishahara zipo ila shida ni peformance au wanatakiwa wazalishe sana ili pesa ipatikane ya kuwalipa?
 
Back
Top Bottom