Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,063
- 2,872
Swadakta Mwalimu wangu. Nchi hii tuliojiendeleza kielimu tukiwa kazini sawa Na waraka wa Utumishi wa 2003 tulipoteza Muda! Hakuna anayetambua degree zetu labda ukubali kulipwa Mshahara wa Entry point! Wakuu wa taasisi na Maafisa Utumishi Mungu atawalipa Roho zenu mbaya!Tuendelee kueleza,ipo siku atasikia.