Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

Kutakuwa na moto MKALI utapulizwa hiyo siku. Hakuna atakaekaa aamini. Kama mmetumwa na baba zenu mtaenda kuwasimulia. Mkibahatika kurudi salama lakini.
 
Habari wakuu,
Demokrasia ni kitendo cha kuheshimu mawazo ya walio wengi hata kama yanakuudhi hii ndo tunaita demokrasia wengi wape.Ni aibu sana tena zaidi ya sana kujinasibu kuwa ni mpenda demokrasia huku unapinga maamuzi ya walio wengi tena kwa njia zisizo sahihi.Tanzania ni nchi ya amani tunaongozwa kwa taratibu rais anachaguliwa na walio wengi na tunampata rais kwa box la kura na sio kwa kuandamana ni wakati wa hao wachache wanaotaka kubadili nyeupe kuwa nyeusi kujitathimin wanakwenda wapi na kama wanatumika basi wanatumika vibaya.Tunaomba jeshi la polisi liwadhibiti hao wapuuzi wachache kabla hayajatokea maafa kwani sisi tulio wengi hatutakubali rais wetu kipenzi chetu ayumbishwe na sisi tutaandamana kutaka demokrasia iheshimiwe maandamano yasio na kikomo

LUMUMBA street
Buku 7 kwa siku
Mambo ni
 
Idadi ya wananchi ni kubwa kuliko polisiccm wakiamua kuandamana wataandamana tu na wanaweza kubeba gobole na siraha za jadi upinde mishale ya sumu na wakawakomesha na yeye kukimbilia kwao Burundi
Wabebe hadi gobole! Ushauri wako mzuri. Kumbe pengine ile ya Acqui.... ilitokana na waandamanaji!
 
DAR ES SALAAM (REUTERS) - Tanzanian President John Magufuli warned on Friday of a crackdown on anyone who participates in illegal demonstrations, vowing not to let his economic reforms be derailed by street protests.

Magufuli, nicknamed "the Bulldozer" for his forceful leadership style, has introduced anti-corruption measures and tough economic reforms, including cuts to wasteful government spending, since taking office in November 2015.

"Some people have failed to engage in legitimate politics; they would like to see street protests everyday...Let them demonstrate and they will see who I am," he told a public gathering in northwestern Tanzania.

Critics say his cost-cutting measures and policy changes are excessive and undermine growth in East Africa's third-biggest economy by stifling foreign investment in critical sectors such as mining. Magufuli said the reforms were on course.

"We want to build a strong economy for all Tanzanians and we are on the right track. Let us be patient, Tanzania will become a land of honey," the president said.

A senior police official said on Friday that security forces were on alert against street protests being organized via social media platforms.

A U.S.-based Tanzanian social media activist, Mange Kimambi, has called for nationwide anti-government demonstrations on April 26 to protest over a diminution of political freedoms and human rights abuses in his home country.

Kimambi, who has a large youth following on social media, is rallying Tanzanians via Telegram chat groups to take to the streets after previous demonstrations called by the main opposition CHADEMA party in 2016 were called off.

In Tanzania, anyone wanting to stage a demonstration must inform police and receive a permit from them. Police have declared the Kimambi-led protest illegal and an act of treason.

The United States, European Union and several Western embassies in Tanzania voiced concern last month over political violence and allegations of rights abuses.

But the criticism is unlikely to hurt Magufuli's government politically, after the ruling CCM party won a majority in recent local government and parliamentary by-elections.

The foreign affairs ministry dismissed the concerns of Western embassies as "sensational, ill-informed and inciting".
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Marekani imetambua kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki nashangaa ufipa wanakataa

DAR ES SALAAM (REUTERS) -
But the criticism is unlikely to hurt Magufuli's government politically, after the ruling CCM party won a majority in recent local government and parliamentary by-elections.
".
 
Kwani hayo maandamano yana ubaya gani!? Si wanaenda kumtoa mkimbizi wa Kihutu wamuache mtanzania mwenzao Mama Samia
 
Mkuu usiwe na wasiwasi watz tunajielewa maandamano ya mitandaoni tunaweza hiyo tar.26 sio mbali na kutakuwa kimya tu na sherehe za kitaifa ila nilichokiona mikwara ya maandano kwa walio nyuma ya keybodi zao za tecno, na wanavyoona serikali inawaambia msiandamane wanahisi imetishika ila haiwezi kukubali uhuni huo na atakae kaidi basi avunjwe au kwao pafungwe turubai,subiri hiyo siku utajionea.
Zero brain! Unaona sifa kuua?
 
Well said.
 
Habari wakuu,
Demokrasia ni kitendo cha kuheshimu mawazo ya walio wengi hata kama yanakuudhi hii ndo tunaita demokrasia wengi wape.Ni aibu sana tena zaidi ya sana kujinasibu kuwa ni mpenda demokrasia huku unapinga maamuzi ya walio wengi tena kwa njia zisizo sahihi.Tanzania ni nchi ya amani tunaongozwa kwa taratibu rais anachaguliwa na walio wengi na tunampata rais kwa box la kura na sio kwa kuandamana ni wakati wa hao wachache wanaotaka kubadili nyeupe kuwa nyeusi kujitathimin wanakwenda wapi na kama wanatumika basi wanatumika vibaya.Tunaomba jeshi la polisi liwadhibiti hao wapuuzi wachache kabla hayajatokea maafa kwani sisi tulio wengi hatutakubali rais wetu kipenzi chetu ayumbishwe na sisi tutaandamana kutaka demokrasia iheshimiwe maandamano yasio na kikomo
Kura za kwenye Box anachaguliwa raisi ili atuongoze na aheshimu Sheria na Katiba Mkuu... Kasheshe huja pale anapokosea na akiambiwa hashauriki ndipo Tatizo so tatua Tatizo na sio Porojo Pumbavu
 
Article inauma na kupuliza sema kwe western countries hata Rais au uongozi uwe bora au sijui una dhamira njema kwa raia lkn kama unaminya Uhuru wa watu kutoa hisia zao na kujieleza hapo hawana muamana nawe

Na hapa uongozi wa awamu hii unaweza kualika 'downfall' yao wasipoangalia hasa hili la freedom of speech' watakaliwa kooni nje na ndani kikubwa watu /serikali ibadilike na kukubali kushaurika
 
DAR ES SALAAM (REUTERS) -
"Some people have failed to engage in legitimate politics; they would like to see street protests everyday...Let them demonstrate and they will see who I am,"

But the criticism is unlikely to hurt Magufuli's government politically, after the ruling CCM party won a majority in recent local government and parliamentary by-elections.
".
 
Back
Top Bottom