Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

Hakuna "mtawala" katika historia dunian ambay hakuogopa pale uongoz wake ulipokuwa "compromised"...hitler mwenyewe mavi yaligonga pichu!
 
Hili ndilo jibu sahii.

Magufuli hajiamini. Wanaomzunguka hawaamini. Police hawaamini na usalama wa Taifa hauamini. Yeye anaamini wale tu aliopewa kumlinda toka Rwanda.

Hebu fikiria hii scenario sasa. Watu wameandamana kwa Amani, maelfu na maelfu. Vyombo vya habari vya ndan na nje vinaonesha live. Waandamanaji wamekaza kuwa magufuli atoke.

Magufuli kagma kutoka na kaenda kujificha huku akiagiza jesh la polce lisitishe maandamano. Mara jesh nalo likagoma au likashindwa kuzuia maandamano sababu yawingi wa watu au nao wakaogpa kuwashambulia waandamanaji maana ni hatari kwao na familia zao. Mawazir mara nao wakaanza kujiuzuru mmoja baada ya mwingne.

Mara CCM nao wakina pole pole wanamgeuka maana hata yy anajua CCM wenzake ni wengi tu wanamnafkia. Maandmano yakikaza nao wanaanza mgeuka maana unafiki ni asili yao.

Hapo mtamsikia magufuli kakimbilia Rwanda na hatorudi milele.

Hiki ndicho kinamuogopesha.
Amka unaota ndoto mbaya
 
Mleta Mada unajifanya mjuaji na maandishi marefu yalioyojaa povu NA upungufu wa busara.

Maandamano ni lazima upate kibali japokuwa ni haki, bila kibali huna haki ya kuandamana.

Hao wanaotayarisha kuandamana ujerumani si wameomba kibali NA wamepewa, lakini huku bongo mkiambiwa mnahitaji kibali nongwa.

Maandamano ni lazima yaogopwe kwa sababu::

1. Tanzania yanatumiwa kama uchochezi, Na yanatayarishwa na vyama vya upinzani kuwachochea wananchi.

2. Yana haribu uchumi NA yanaleta uhalifu.

3. Yanawaletea madhara wananchi.

4. Yanawaharibia wengi kazi zao na inawaletea hasara kwenye mali zao.
Kwani walikwambia haeataomba kibali ...!!?

Actually, maandamano Tanzania, kisheria hayahitaji kibali. Kinachotakiwa ni kutoa taarifa police at least 48 hrs before ili kupatiwa ulinzi. Sasa wamegeuza hiyo kufanya kuwa ni kuomba kibali.

Maandamano ya Mange ni 26 Apr. Kama tatizo ni kibali tu Bado wanazo siku nyingi tu za kuyaombea kibali.

Hivi ikitokea yataombewa kibali ... je, watayaruhusu!!? ..... baada ya huu mkwara kutoka Chato!!
 
Anayaogopa kwasababu yana athari kubwa: hata kama hapa Tanzania hatutaandamana...diaspora wa kila nchi wataandamana kwenye balozi zao, hili litapelekea nchi hizo/UN kupitia marekanai na NATO kutuma wachunguzi kwa nguvu kama ilivyotokea Saudi Arabia...yaani hamna ile eti "hatutawaruhu wachunguzi huru wa kimataifa:....wanaingia by force na show utaielewa tuuu.
hapo ndio napopataka
 
Mbona maandamano ya UKUTA pia yaliogopwa au mmesahau vile vitisho mpaka maandamano hayakutokea.
 
Hivi jamani upupu huwa unapatikana wapi?? Nauliza tu
FB_IMG_15143038040277526.jpeg
Tukuyu - Mbeya
Utapata Kwa Wingi Mkuu
 
akili nyingine fupi kweli eti wanamjibu mange.mbuzi wanatuzidi hekima masikini.pumbavu zako tanzania
 
Aiseee hivi zile kesi zenu kule mahakama za kimataifa zimeishaje. Story za vijiweni bana
Anayaogopa kwasababu yana athari kubwa: hata kama hapa Tanzania hatutaandamana...diaspora wa kila nchi wataandamana kwenye balozi zao, hili litapelekea nchi hizo/UN kupitia marekanai na NATO kutuma wachunguzi kwa nguvu kama ilivyotokea Saudi Arabia...yaani hamna ile eti "hatutawaruhu wachunguzi huru wa kimataifa:....wanaingia by force na show utaielewa tuuu.
 
Tatizo si kuogopa bali kuonya kuepusha maafa yasiyo na lazima. Pengine watu hawajui maana ya kuandamana kumtoa Rais madarakani. Hili ni kosa la uhaini ....hakuna mwenye akili timamu anaweza hata kujihusisha! Pengine wapo wachache watafanywa mfano kabla hata ya hayo maandamano ili mjue nini mnakitaka. Malengo ya maandamano mnayoyataja ni uhaini mtupu na hakuna atakayewaunga mkono hata international communities ...bora mngeweka malengo ya kudai vitu kama katiba mpya lakini si kumtoa Rais ....mtajikuta matatizoni na kutesa familia zenu ....
Unajua maama ya uhaini kweli??Imeshasemekana maandamano ya Amani,huo uhaini unatoka wapi?
 
Maandamano yoyote yasiyo na kibali ni batili, especial kauli mbinu ya maandamano menyewe ni mapinduzi ya kupindua nchi, so hata kama mm ndo ningekuwa rais lazima watu hawa ningewashugulikia. Ikiwemo kumfutia uraia yule aliyeandaa maandamano
 
Inakuwaje raisi wa nchi kubwa hii anatetemeshwa na maandamano kwenye mitandao hajiamini huyu lazima atakimbia siku wakiandamana
Yeye na Maliyamungu idd Amin Bashite wameiba pesa nyingi za Umma kwa kipindi kifupi wanahofia maandamano kwani watapoteza kila kitu.
 
kifo akiepukiki ....Mimi naona watu wanaweza kuandamana nawasiuliwe pia naona watu wanaweza wasiandamane nawakafa pia hata kwa njaa.
 
Kwa huyu mshamba tumeanza kumuona Rais wa nchi hii anyeogopa wananchi wake hata kama amejaza watu wake kwenye majeshi yote
Majigambo na vitisho vya kishamba hatukuwahi kuona kwa JKN,AHM,BWM au JMK sasa la kujiuliza kwa nini huyu kwa huyu 'mrundi'?
 
Back
Top Bottom