Rais Magufuli: Nitahamia Dodoma mwaka huu, 2018

Hatuna Sera za kitaifa,anaweza akija mwingine asitilizie mkazo Dodoma akarudi dar.labda tupate aina ya mkazo.
 
Muache kutudanganya kwa kuhamia asubuhi halafu jioni mnarudi Dar. PM na VP walihamia lakini kila siku wako Dar
 
Akisema kitu ni hakika, akisema ndge zitakuja zinakuja!
 
Ahame haraka na asimwache bashite waondoke nae, na ndege ikipitiliza mpaka rwanda au uganda itakua poa tu, foleni za kusubiri jiwe apite zinakera sana tukitilia maanani alisukumizwa tu hakuwa chaguo letu
 
Reactions: Cyb
Pamoja na kasoro zake jamaa ni mtu wa Vitendo. Biblia inasema wengi wana bidii lakini si katika ile kweli.
 
Atamwacha jokate kisarawe?? au atahama naye?
 
Afadhali hali huenda ikarudi km zamani afanye mpango amchukue na Bashite, Dar hatutaki ushamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…