Rais Magufuli: Ninafuu uwanja wa Cape Verde ulikuwa mfupi sikutoa ndege, maana si kwa aibu ile

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
"Juzi nilikuwa kwenye stage ya mwisho kutoa ndege bure, baadae nikaambiwa ule uwanja hautoshi kwa ndege ya Dream Liner kutua nilipoanza kufuatilia mchezo dakika chache mshatandikwa mbili mnaenda mapumziko nikasema ni nafuu uwanja umekuwa mfupi," JPM

Natoa ushauri Magufuli Timu yetu si ya kuwekea dhamana hata hizo milion ulizotoa utajuta kuwapa, watapigwa sana na hatwendi popote,

Timu haijengwi tunavyofanya kuna taratibu zake, kwa mbinu hizo tunazotumia ni ngumu, ushingae tunapigwa na lethoto, tena kimoja tu wanalinda goli mwanzo mwisho,

Britannica
 
Wazee wa probability
hivi mechi inapochezwa huwa mnategemea matokeo ya aina ngapi baada ya mpira kuisha?

ukilijua hilo unakutana na wahenga sasa, asiekubali kushindwa.........

Ila na taifa staa mnakera kila siku mnasukumiwa ndani nyie tu???
 
Hahaha
 
Kashaweka mkono wake huyu jamaa naona mkosi unanukia hapa na cjui alikua anataka tusikilize upuuzi wake tuachane na madudu ya sirroMasisitivi
 
"Juzi nilikuwa kwenye stage ya mwisho kutoa ndege bure, baadae nikaambiwa ule uwanja hautoshi kwa ndege ya Dream Liner kutua nilipoanza kufuatilia mchezo dakika chache mshatandikwa mbili mnaenda mapumziko nikasema ni nafuu uwanja umekuwa mfupi," JPM

Natoa ushauri Magufuli Timu yetu si ya kuwekea dhamana hata hizo milion ulizotoa utajuta kuwapa, watapigwa sana na hatwendi popote,

Timu haijengwi tunavyofanya kuna taratibu zake, kwa mbinu hizo tunazotumia ni ngumu, ushingae tunapigwa na lethoto, tena kimoja tu wanalinda goli mwanzo mwisho,

Britannica
mzee baba wewe mganga
 
Back
Top Bottom