Magufuli ni chaguo la Mungu!Awamu hii ya tano imejidhihisrishia kwamba wao ni watu wa quality na siyo Quantity au kwa kikwetu tunawekeza zaidi kwenye ubora na siyo uwingi tu wa vitu, mfano hai watu wanapiga kelele mizigo kupungua Bandarini ambapo ni kweli lkn kwa mujibu wa TRA tunakusanya mapato mengi zaidi kuliko hapo mwanzo hivyo hapo utaona ni quality na siyo quantity, hata kwenye Utalii itakuwa hivyo hivyo watakuja watalii wachache kiasi lkn wenye uwezo mkubwa wa kifedha na siyo wengi lkn wasiokuwa na fedha za kutumia, hivyo hata hapa pia ni quality na siyo quantity!
Raisi Magufuli ni genius, na mtu genius huchagua watu magenius pia!
Hii ndiyo TanZania mpya bhana!
Magufuli ni chaguo la Mungu!
Nyongeza: Mamlaka zilizowekwa na mungu hazipingani na kauli za watu wa munguSons kitabu cha warumi 13:1-2 mamlaka hii ya Magufuli.imewekwa na Mungu.usipinge huo ndio ukweli.
Sasa mbona mlikuwa mnasema hamtaki misaada sasaSikukuu njema mkuu Barbarosa. Napenda uandishi wako kwa sababu siku zote unachokoza fikra za watu hivyo mjadala unakuwa mrefu na wanaofaidika ni wengi. Wadau hutafuta cha kuongea ambacho ni negative, wanaongelea suala la sukari, likipatiwa utatuzi watahamia kwenye suala la Lugumi, likitatuliwa watahamia kwenye suala la mtoto wa mkuu wa nchi. Waliongelea suala la fedha za MCC, baadae wamarekani hao hao wakatoa fedha nyingine nyingi tu, kimya kimya wakaamua kuachana na issue hiyo ya wamarekani.
Yaani nafsi zao siku zote hutafuta kitu kibaya cha kuongelea.
Naam! Na mazuri yanayofanywa na serikali wao huyageuza yaonekane mabaya. Shame on them! Hao jamaa hawaishi kutafuta majukwaa na kukosoa kila kinachofanywa na serikali ya awamu hii mpaka tunabaki kujiuliza endapo wao ndio wageshika uongozi wangefanya kipi cha maana?Sikukuu njema mkuu Barbarosa. Napenda uandishi wako kwa sababu siku zote unachokoza fikra za watu hivyo mjadala unakuwa mrefu na wanaofaidika ni wengi. Wadau hutafuta cha kuongea ambacho ni negative, wanaongelea suala la sukari, likipatiwa utatuzi watahamia kwenye suala la Lugumi, likitatuliwa watahamia kwenye suala la mtoto wa mkuu wa nchi. Waliongelea suala la fedha za MCC, baadae wamarekani hao hao wakatoa fedha nyingine nyingi tu, kimya kimya wakaamua kuachana na issue hiyo ya wamarekani.
Yaani nafsi zao siku zote hutafuta kitu kibaya cha kuongelea.
Hakuna nchi duniani yenye uwezo wa kujitegemea kwa asilimia mia moja. Awamu ya tano inabebwa na jeuri ya kujitegemea na kukataa kulamba miguu ya matajiri, utu wetu hauwezi kuwekwa rehani eti kwa sababu ya shida za kiuchumi.Sas
Sasa mbona mlikuwa mnasema hamtaki misaada sasa
Mkuu Mingoi achana nao, nadhani hawa hawajui kama hata miungu nao huchagua viongozi; sasa ni afadhali wangetueleza kama ni lini walikutana na Mungu akawakubalia kwamba alihusika kutuwekea viongozi na sio miungu kama wengine wanavyofikiri? Kumhusisha Mungu katika jambo ambalo hata huna uhakika nalo ni dhambi kubwa sana!Nyongeza: Mamlaka zilizowekwa na mungu hazipingani na kauli za watu wa mungu