Rais Magufuli: Naomba mradi huu ukamilike kabla sijatoka madarakani maana atakayeingia anaweza akaufuta

ormystatus

Member
Nov 3, 2019
89
176
Rais Magufuli ameeleza kuwa alifanya juhudi za makusudi kwa kumtumia Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Patrick Mfugale, kukamilisha mchoro wa daraja la juu kwenye ziwa Victoria eneo la Kigongo Busisi lenye urefu KM 3.2.

1575721976965.png

Akiongea katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi leo Desemba 7, 2019, Rais Magufuli amesema, mradi huo ni muhimu na anamshukuru Mfugale kwa kukamilisha mpango mapema pamoja na Bunge kwa kupitisha bajeti ya ujenzi huo.

‘Nimeona nimtumie Mfugale haraka haraka, nikamwambia kamilisha mapema katika kipindi changu cha Urais inawezekana muda wangu ukiisha anaweza akaja Rais mwingine akaufuta huu mradi, na huyu Mfugale amekuwa akifanya vizuri katika miradi yote ya madaraja nchini’, ameeleza.

Aidha Rais Magufuli amewaasa wananchi wa Mwanza hususani wa Wilaya za Sengerema na Misungwi ambapo mradi huo upo kuutumia vizuri kwa kunufaika kiuchumi kwani ni mradi muhimu kwa watanzania wote na nchi jirani.

Awali Mfugale alieleza kuwa mradi huo unagharimu Shilingi Bil. 699, ambazo zote ni fedha za ndani na unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 40.
 
Nimpe hongera. Anajua alichomfanyia mtangulizi wake... hivyo hataki nae yamkute. Kwa picha kubwa inaonyesha jinsi tulivyokuwa na mfumo mbovu ambao unampa raisi mamlaka ya kifalme kufanya chochote akitakacho na kondoo au twapiga makofi au twalalama tu. Kwa awamu yake ya kwanza sioni kama kuna mabadiliko kwenye mifumo yetu ukiacha utashi wa mtawala.
 
100% atashinda uchaguzi ujao, yaani 2020?
Rais Magufuli ameeleza kuwa alifanya juhudi za makusudi kwa kumtumia Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Patrick Mfugale, kukamilisha mchoro wa daraja la juu kwenye ziwa Victoria eneo la Kigongo Busisi lenye urefu KM 3.2.

View attachment 1284588

Akiongea katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi leo Desemba 7, 2019, Rais Magufuli amesema, mradi huo ni muhimu na anamshukuru Mfugale kwa kukamilisha mpango mapema pamoja na Bunge kwa kupitisha bajeti ya ujenzi huo.

‘Nimeona nimtumie Mfugale haraka haraka, nikamwambia kamilisha mapema katika kipindi changu cha Urais inawezekana muda wangu ukiisha anaweza akaja Rais mwingine akaufuta huu mradi, na huyu Mfugale amekuwa akifanya vizuri katika miradi yote ya madaraja nchini’, ameeleza.

Aidha Rais Magufuli amewaasa wananchi wa Mwanza hususani wa Wilaya za Sengerema na Misungwi ambapo mradi huo upo kuutumia vizuri kwa kunufaika kiuchumi kwani ni mradi muhimu kwa watanzania wote na nchi jirani.

Awali Mfugale alieleza kuwa mradi huo unagharimu Shilingi Bil. 699, ambazo zote ni fedha za ndani na unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 40.
 
Mungu atunusuru!

Bill 700 hela za ndani? Da hii no trilioni kabisa .......why 40%isiwe ndani 60% nnje /financing........we put eggs in one basket
 
Rais Magufuli ameeleza kuwa alifanya juhudi za makusudi kwa kumtumia Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Patrick Mfugale, kukamilisha mchoro wa daraja la juu kwenye ziwa Victoria eneo la Kigongo Busisi lenye urefu KM 3.2.

View attachment 1284588

Akiongea katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi leo Desemba 7, 2019, Rais Magufuli amesema, mradi huo ni muhimu na anamshukuru Mfugale kwa kukamilisha mpango mapema pamoja na Bunge kwa kupitisha bajeti ya ujenzi huo.

‘Nimeona nimtumie Mfugale haraka haraka, nikamwambia kamilisha mapema katika kipindi changu cha Urais inawezekana muda wangu ukiisha anaweza akaja Rais mwingine akaufuta huu mradi, na huyu Mfugale amekuwa akifanya vizuri katika miradi yote ya madaraja nchini’, ameeleza.

Aidha Rais Magufuli amewaasa wananchi wa Mwanza hususani wa Wilaya za Sengerema na Misungwi ambapo mradi huo upo kuutumia vizuri kwa kunufaika kiuchumi kwani ni mradi muhimu kwa watanzania wote na nchi jirani.

Awali Mfugale alieleza kuwa mradi huo unagharimu Shilingi Bil. 699, ambazo zote ni fedha za ndani na unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 40.
Mbona kama hesabu zinagoma?kwani amebakisha miezi mingapi huyu!?
 
Mtu kwako Tufanye kazi! mfungale oyeeeeee,Ntaenda kuchek fursa tugawane na mfungale...hakuna namna Watanzania tufanye KAZI.
 
Back
Top Bottom