Rais Magufuli namfananisha na Messi

NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,534
1,090
Kweli Rais wetu amesoma, pia anawafahamu vema Watanzania, amesha wa study in and out.

1.Mimi kwenye serikali yangu MTU akiharibu hapa simhamishi popote, namfuta kazi.!!! Refer Anna K Malecela. Sasa ni nani na aliyakoroga wapi!!!

2.Kuna mtu nchi hii alikuwa anasafiri Mara nyingi nchi za nje kuliko alivyokwenda kuwasalimia baba yake na mama yake. Refer Mama Salma amepewa ulaji gani?

3.Wenye vyeti Feki mjiandae, nitawashughulikia. Makonda Yuko Kimya, Boss anakigugumizi!!!
my
KWANINI NAMKUBALI MAGUFURI?
Alisha tusoma watanzania tunaishi kwa matukio, maneno mengi na umbea, pia majungu mengi. Sasa ametumia udhaifu huu kutawala ki ulaini sana!!

Tukio la Makonda la Cheti cha kugushi amelimaluza ki ulaini sana kwa Kumteua Mama Salma Kikwete.
Kama ilivyoisha Lugumi kwa kumuondoa Kitwanga Uwaziri, ndio huo huo mchezo amefanya kwa kumnusuru Makonda kwa kubadilishia gia Angani!!

Magazeti yatahamia yote kwa Mama Salma na sio Makonda na Gwajima tena.

Bodi ya mikopo imeonea watumishi wa umma lakini hakuna mjadala mpana wa kisheria katika hili, la muhimu ni kujadili Kesi ya Wema na ngada!!

Acha niishie hapo maana nahisi naweza pigwa bani humu nikiendelea.
 
Labda amteue Gwajima kuwa IGP. Lakini kama unafikiri Gwajima kamalizana na Bashite, subiri Jumapili kwanza tusikie Mzee kutoka Koromije kaja na sato au sangara
 
Mleta uzi usijidanganye..

Hili la forgery ya RC wa Dsm tunalo mpaka afe..!!

Hata akifa tutahakikisha msalaba wake unaandikwa Daudi Albert Bashite na sio hili jina la wizi analotumia.
 
Back
Top Bottom