Rais Magufuli ameshindwa kusimamia maneno yake

yusuphmarcogaga

Senior Member
Jan 5, 2014
145
162
Hii ni baadhi ya misimamo ya rais Magufuli ambayo amekuwa akinadi kuwa ni mtu wa aina flan na hata kukemea kwa nguvu zote lakini ghafla ameshindwa kutekeleza misimamo iyo.

1.KULIMBIKIZA VYEO. Rais ameshangaa maranyingi ikiwemo katika kikao cha kamati kuu ccm kuhoji kwann mtu mmoja awe na vyeo lukuki ilhali watu wapo. Reference ya hili ni kumteua Mama Salma Kikwete kuwa mbunge

2. UWAJIBIKAJI. Nimekuwa nikijiaminisha kwamba rais sio mtu wa kispoti spoti na jambo linapoibuka huchukua hatua stahk kama tulivoshudia kwa Anna Kilango lakini ameshindwa kusimamia hili katka sakata la Lugumi, Tuhuma zinazomkabili Makonda nk.

3. KUJALI WANYONGE.................................................................................................................................sasa mimi ndo nikawapikie......................................................................ccm haijaleta tetemeko.............................................
4.
 
Unless kama aliweka time frame clauses kwenye ahadi zake. Kikwete aliahidi "maisha bora kwa kila Mtanzania, kupitia ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya. Baada ya miaka mitano uliyaona hayo maisha bora?!. Baada ya miaka mitano ahadi ile iliendelea kwa kuwa intensified zaidi kuwa Maisha Bora Kwa kila Mtanzania kwa Nguvu Zaidi, Ari Zaidi na Kasi Zaidi. Alipomaliza jee uliyaona?.
Kama siku zote tunaahidiwa bila kutekelezewa na mwisho wa siku tunawachagua tena, why Magufuli ndio atekeleze mapema? . He has ample time hadi 2025.

Kama Tanzania we had SMART objectives na delivery time frame, hizi empty promises zisingekuwepo! .

Paskali
 
Usimwamini mwanasiasa ni vigeugeu sana, na sisi wananchi tumekuwa kama mazombie.
 
"msema kweli mpenz wa mungu" sasa kwa kauli zake huyu dubwasha anaonekana si msema kweli nachelea kusema atakua ni adui wa mungu na mpenz wa sheitwan
 
Back
Top Bottom