Rais Magufuli nakushangaa sana

"Watu wana engineer mauaji na kuyareport kimataifa eti yamefanywa na serikali yake,kumbe wao wenyewe,"

Mbona hamuwakamati ????????
 
Hata upige mapambio ya mbinguni bashite kama ujuwe watanzania hawadanganyiki pale ikulu tumeweka shetani
 
Makanisa hasa ya walutheri ambao mhehsimhes mmoja aliwahi kuwaambia ni zamu Yao ya urais , nao wako busy kumkatisha tamaa,
Wewe britanicca ni mpumbavu, tena mpumbavu hasa...kwa hiyo unatakaje, huyo mpumbavu mwenzio atupoteze Walutheri kama anavyowapoteza raia wengine?
 
Mkuu mbona na wewe unatumia nguvu kubwa mno kuleta mada km hizi humu jamvini?
 
Wewe britanicca ni mpumbavu, tena mpumbavu hasa...kwa hiyo unatakaje, huyo mpumbavu mwenzio atupoteze Walutheri kama anavyowapoteza raia wengine?
Mpumbavu ni
1. Wewe
2. Mama yako
3. Baba yako
4. Dada yako
5. Kaka yako
6. Katibu mkuu wako chama
7. Mwenyekiti wako wa chama
8. Hata aliyekuwa mgombea kupitia chama chako

Shwaini simbilisi wewe
 
Tanzania haijawahi na wala haitakaa ipate Rais mwenye inferiority complex kama huyu.
 
Wewe mavi yamekubana nenda kanye, kwanini anaua demokrasia nchini anakopi na kupest ya Kagame na ndo maana ziara yake ya kwanza alimfuata kigali. Kila siku anasema WTz mniombee, nani akuombee wakati damu za wasio na hatia zinakulilia? Tangu Tz ipate uhuru hatujawahi kuona matukio ya mauaji na watu kupotea na wala hawapatikani, kama mkuu wa nchi katulia tu anaona fresh maana amshakamata majishi, polisi na mahakama. Mtu yeyote anayepambana na upinzania anamwongezewa cheo, stupid na rubish dictetaship
 
Mbona hujaweka namba za simu mzee.... Wenzako huwaga wakimaliza unafki wao kama wewe wanawekaga jina na namba za simu ili wapongezwe kwa kujipendekeza
 
We kweli bwege Magufuli si ana dola kwann uchunguzi usifanyike kuwabaini waalifu?
 
Nyie watoto wa juzi Tu Kumbe
 
Zama za Nyerere na sasa ni tofauti kama mbingu na dunia na ndio maana aliamua kuachia ngazi kwani aliona mazingira ya wakati yalikuwa yanabadilika.

Hata leo hii hakuna utawala wowote wa ki mabavu unaoweza kukaa madarakani kwa muda mrefu au utegemee eti usikosolewe. None.
 
Sipendi kuchangia mada za kijinga, lakini inanibidi niweke hata neno tu kwa mpu-uzi kama wewe mtoa mada, hivi nyie ni binadamu? Au mi dubwana isiyo ona yanayoajiri ndani nchi hii kwa sasa?Mtoa mada lazma utakuwa shamba boy wa wa walaji wazuri ndani ya ccm, maana jitu kama utakuta unajipendekeza ili tu boss akupe mabaki ya wali.
 
Nguvu kubwa inatumika kuonesha huyu jamaa kwamba ni malaika ...kwaio hakosei kila afanyacho ni perfect..bila kusahau [HASHTAG]#roho[/HASHTAG] mbaya na husuda, wivu kila kitu ni huyu malaika wa mleta mada
Mh
 
Nguvu kubwa inatumika kuonesha huyu jamaa kwamba ni malaika ...kwaio hakosei kila afanyacho ni perfect..bila kusahau [HASHTAG]#roho[/HASHTAG] mbaya na husuda, wivu kila kitu ni huyu malaika wa mleta mada
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…