britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,158
- 47,719
- Thread starter
-
- #21
Una uhakikaNguvu kubwa inatumika kuonesha huyu jamaa kwamba ni malaika ...kwaio hakosei kila afanyacho ni perfect..bila kusahau [HASHTAG]#roho[/HASHTAG] mbaya na husuda, wivu kila kitu ni huyu malaika wa mleta mada
Kiongozi wa mashetani huwa ni shetani it means mawe ni shetaniAfadhali mara 100 nikachinje mbwa kuliko kupoteza muda kuombea "shetani!"
Dhamira kuu:KUFANYA WATU WAISHI KAMA SHETANI.
YEYE kama ni shetani anataka wafuasi! Wanao muunga mkono ni mashetani pia!
I have never seen/heard of any parents wishing their children the worst.
Tatizo alifikiri kuzuia mikutano ya siasa na maandamano ndio atawanyamazisha watu amesahau dunia iko enzi nyingine ambayo mikutano ya siasa na maandamano ni kitu kidogo sana. Sasa hivi watu wanasema na kumsema sana kuliko hata kwenye hiyo mikutano na maandamano anayoyaogopa. Ulimwengu wa sasa wanasema ogopa Mungu na technolojia. Hilo nadhani muheshimiwa halijui hivyo anajilisha upepo kuwa amewasilence wapinzani wake kumbe ndio wameongezeka mara dufu na wanaongea publically kuliko kwenye hiyo mikutano na maandamano.Namshangaa Rais wa jamhuri ya Tanzania,
Wachache wanatumia gharama na nguvu kubwa mno kumkatisha tamaa
Watu wamewekeza kwenye media kumchafua,
Watu wana engineer mauaji na kuyareport kimataifa eti yamefanywa na serikali yake,kumbe wao wenyewe,
Watu wamewekeza kwenye forums mbali mbali kumchafua
Watu kila kona kwenye vyama vya siasa wao wamejikita kumkatisha tamaa
Watu wamewekeza media za kimataifa kumchafua yeye hakati tamaa mfano DW, na FXFM ya Canada,
Makanisa hasa ya walutheri ambao mhehsimhes mmoja aliwahi kuwaambia ni zamu Yao ya urais , nao wako busy kumkatisha tamaa
Hiyi kiumbe kaumbwaje? Hakati tamaa na sioni dalili yoyote Ile ya kukata tamaa,
Nadhani Una kiwango cha uvumilivu kinachozid Hata cha mwalimu Nyerere,
Scenario: Tukio la vyama vya siasa kukureport vibaya kimataifa angekuwa Nyerere angeshafu vyama
Sugu angepelekwa kigamboni Badala ya uko mbeya alipo
Instagram Isingeruhusiwa nchini , kama ambavyo hairuhusiwi baadhi ya nchi Kwa sababu ya mtu Fulani
Wazalendo Tumuombee,
TATIZO NI PALE MNAPOLALAMIKA WAKATI TISS, POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI NA JESHI VYOTE MALI YENU KWANINI MSIWAKAMATE WAKATI TAYARI MNAO USHAHIDI? PIA BUNGENI MNAO WABUNGE WENGI, KWANINI MSIPELEKE HOJA YA KUFUTA VYAMA VINGI ILI MBAKI WENYEWE ASIWEPO WA KUWASUMBUA?Namshangaa Rais wa jamhuri ya Tanzania,
Wachache wanatumia gharama na nguvu kubwa mno kumkatisha tamaa
Watu wamewekeza kwenye media kumchafua,
Watu wana engineer mauaji na kuyareport kimataifa eti yamefanywa na serikali yake,kumbe wao wenyewe,
Watu wamewekeza kwenye forums mbali mbali kumchafua
Watu kila kona kwenye vyama vya siasa wao wamejikita kumkatisha tamaa
Watu wamewekeza media za kimataifa kumchafua yeye hakati tamaa mfano DW, na FXFM ya Canada,
Makanisa hasa ya walutheri ambao mhehsimhes mmoja aliwahi kuwaambia ni zamu Yao ya urais , nao wako busy kumkatisha tamaa
Hiyi kiumbe kaumbwaje? Hakati tamaa na sioni dalili yoyote Ile ya kukata tamaa,
Nadhani Una kiwango cha uvumilivu kinachozid Hata cha mwalimu Nyerere,
Scenario: Tukio la vyama vya siasa kukureport vibaya kimataifa angekuwa Nyerere angeshafu vyama
Sugu angepelekwa kigamboni Badala ya uko mbeya alipo
Instagram Isingeruhusiwa nchini , kama ambavyo hairuhusiwi baadhi ya nchi Kwa sababu ya mtu Fulani
Wazalendo Tumuombee,
Namshangaa Rais wa jamhuri ya Tanzania,

pumba tupu na wala hamtofanikiwa.Tatizo alifikiri kuzuia mikutano ya siasa na maandamano ndio atawanyamazisha watu amesahau dunia iko enzi nyingine ambayo mikutano ya siasa na maandamano ni kitu kidogo sana. Sasa hivi watu wanasema na kumsema sana kuliko hata kwenye hiyo mikutano na maandamano anayoyaogopa. Ulimwengu wa sasa wanasema ogopa Mungu na technolojia. Hilo nadhani muheshimiwa halijui hivyo anajilisha upepo kuwa amewasilence wapinzani wake kumbe ndio wameongezeka mara dufu na wanaongea publically kuliko kwenye hiyo mikutano na maandamano.
Kweli huyo sio Malaika ilaNguvu kubwa inatumika kuonesha huyu jamaa kwamba ni malaika ...kwaio hakosei kila afanyacho ni perfect..bila kusahau [HASHTAG]#roho[/HASHTAG] mbaya na husuda, wivu kila kitu ni huyu malaika wa mleta mada
Kuhusu nini?pumba tupu na wala hamtofanikiwa.
Namshangaa Rais wa jamhuri ya Tanzania,
Wachache wanatumia gharama na nguvu kubwa mno kumkatisha tamaa
Watu wamewekeza kwenye media kumchafua,
Watu wana engineer mauaji na kuyareport kimataifa eti yamefanywa na serikali yake,kumbe wao wenyewe,
Watu wamewekeza kwenye forums mbali mbali kumchafua
Watu kila kona kwenye vyama vya siasa wao wamejikita kumkatisha tamaa
Watu wamewekeza media za kimataifa kumchafua yeye hakati tamaa mfano DW, na FXFM ya Canada,
Makanisa hasa ya walutheri ambao mhehsimhes mmoja aliwahi kuwaambia ni zamu Yao ya urais , nao wako busy kumkatisha tamaa
Hiyi kiumbe kaumbwaje? Hakati tamaa na sioni dalili yoyote Ile ya kukata tamaa,
Nadhani Una kiwango cha uvumilivu kinachozid Hata cha mwalimu Nyerere,
Scenario: Tukio la vyama vya siasa kukureport vibaya kimataifa angekuwa Nyerere angeshafu vyama
Sugu angepelekwa kigamboni Badala ya uko mbeya alipo
Instagram Isingeruhusiwa nchini , kama ambavyo hairuhusiwi baadhi ya nchi Kwa sababu ya mtu Fulani
Wazalendo Tumuombee,
Mshamba ww na waliokutuma!Namshangaa Rais wa jamhuri ya Tanzania,